The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kijana wetu wa hovyo huyu, tunamsubiri afike hapa atupatie muongozo.
Leo watu wapo kujirusha nini?naona wengi hawamoKijana wetu wa hovyo huyu, tunamsubiri afike hapa atupatie muongozo.
Ngoja tuone huenda wamebanwa na makujuu yao ya kukamua mashangazi.
Inawezekana pia mkuuNgoja tuone huenda wamebanwa na makujuu yao ya kukamua mashangazi.
Ushawahi kutana na mishangazi????
Emmanuel 'Kojo'.... Abu'Trica', nimajina ya kitapeli ya wazi, hao mishangazi walishindwa kujihoji?Raia wa Ghana Frederick Kumi maarufu mtandoni ‘Abu Trica’ amekamatwa kwa tuhuma za utapeli wa kimapenzi na kuwaibia wazee na watu wazima ambao ni Wazungu nchini Marekani kiasi cha fedha Dola milioni 8 za Marekani.
Waendesha mashtaka wa Marekani wanasema kijana huyo mwenye miaka 31, alitumia zana za akili bandia (AI) kuunda utambulisho usio wa kweli, pia aliwasiliana na waathiriwa kupitia tovuti za kutafuta wapenzi na mitandao ya kijamii, kisha polepole akajenga imani yao kabla ya kuwaomba fedha.
Abu Trica anakabiliwa na mashtaka nchini Marekani ya kula njama ya kufanya udanganyifu wa kielektroniki (wire fraud) na utakatishaji wa fedha na akipatikana na hatia, anaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 20 jela.
Wachunguzi wanasema Abu Trica, ambaye pia hutumia jina jingine Emmanuel Kojo Baah Obeng, amekuwa akiwasiliana na kina mama hao watu wazima kupitia simu, baruapepe na ujumbe wa maandishi.
Inadaiwa mbinu ambayo hutumia kuwapata huanza kwa kuwaeleza taarifa za kusikitisha zinazomhusu za kiafya, matatizo ya safari au fursa za biashara akiwa na lengo kuwashawishi kutuma fedha au vitu vya thamani.
Sikumbuki sweetheart...Ushawahi kutana na mishangazi????
NIlikuwa nipo bize katika kupangua gia na mshangazi machachari wa jf
Together sana mkuu nakubali sanaNIlikuwa nipo bize katika kupangua gia na mshangazi machachari wa jf
😃😃😃😃😃😃🫵🫵🫵🫵🫵 Why between my interview you passing around
Sa hv ndo weng Mpaka FBI wanaenda kuwakamataHao miaka ya tisini walitambulika kama "Yahoo Boys" wamewapukutisha sana wazungu.
"Scammers"
Yeah, huku kwetu, kuna demu yuko Canada anatokea kukupenda FB, anakuomba urafiki alafu badae anasema anataka kukutumia zawadi ukijaa tu unapigwa.Sa hv ndo weng Mpaka FBI wanaenda kuwakamata