Watoa ahadi kwa timu Vs Simba

Watoa ahadi kwa timu Vs Simba

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,758
Reaction score
6,299
Basi tuone kama watatoa ahadi pia kwa Yanga na Azam.

20211002_082322.jpg
 
Hizi mbon kawaida kwenye soka la bongo au nyie mmeanza kushabikia juzi...Simba na Yanga ndo maisha yao na ni kawaida akifanya Yanga, Simba kulalamika na akifanya Simba.

Yanga kulalamika hizi timu hazichukuagi ubingwa bila mmoja kumdhoofisha mwenzie...abadan asilani hata uwe na timu mzuri aje makando kando lazma..
 
Nikafikiri utaweka pia picha ya Makonda akiwakabidhi KMC Milioni 20 baada ya kuifunga Yanga. Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.
 
Simba Nguvu Moja
Hao Acha Wapambane Lakini Watakaa Chini Hapo Unaona Wamesimama Tayari Wamechoka Hao
 
Binadamu tumeumbwa kusahau mambo na tunazidi kuwakumbusha kipindi kile Paul Makonda akitoa ahadi hizo ilikuwa ni sahihi ila now Ally hapi kafanya vile imekuwa kosa
 
Back
Top Bottom