A
Anonymous
Guest
Habari,
Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi.
Najaribu kuwapigia simu lakini mtoa huduma hapokei kuongea na mimi na unakuta zinatumika dakika nyingi sana (mfano dakika 30 kama inavyoonesha kwenye picha niliyoambatanisha) kumsubiria apokee simu
Sijui hawajui kama tunatumia gharama kwenye hizo dakika? Miezi imepita sasa bado sijafanikiwa
Pia soma: Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu