Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Ukumbuke barua hazipitiwi na watu Ni mfumo. Hakikisha barua yako inaweza kutambuliwa na mfumo aka Robot
Wahuni tu hawa. Huwa wana disqualify watu kwa sababu ambazo hazipo. Kuna dogo hajawa selected kwa kuambiwa " Wrong application letter attached ". Lakini uki view barua ni ya maombi ya hiyo hiyo position. Wanatia hasira sana, wanawaumiza sana madogolasi.