Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Wahuni tu hawa. Huwa wana disqualify watu kwa sababu ambazo hazipo. Kuna dogo hajawa selected kwa kuambiwa " Wrong application letter attached ". Lakini uki view barua ni ya maombi ya hiyo hiyo position. Wanatia hasira sana, wanawaumiza sana madogolasi.
pole sana kwa kadhia hiyo mkuu,tatizo la kutokupokelewa simu siyo la mtu mmoja ni wengi sana na mie nikiwa mmoja wao,hiyo idara inakera,mara 100 hiyo namba ya simu waiondoe isiwepo kabisa ili ukiwa na tatizo usafiri tu kwenda dodoma.Habari,
Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi.
Najaribu kuwapigia simu lakini mtoa huduma hapokei kuongea na mimi na unakuta zinatumika dakika nyingi sana (mfano dakika 30 kama inavyoonesha kwenye picha niliyoambatanisha) kumsubiria apokee simu
Sijui hawajui kama tunatumia gharama kwenye hizo dakika? Miezi imepita sasa bado sijafanikiwa
Pia soma: Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu
Hello, Kama bado una tatizo ajira portal wasiliana nami kwa 0623446608Habari,
Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi.
Najaribu kuwapigia simu lakini mtoa huduma hapokei kuongea na mimi na unakuta zinatumika dakika nyingi sana (mfano dakika 30 kama inavyoonesha kwenye picha niliyoambatanisha) kumsubiria apokee simu
Sijui hawajui kama tunatumia gharama kwenye hizo dakika? Miezi imepita sasa bado sijafanikiwa
Pia soma: Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu
Unajuaje mambo haya ?Ukumbuke barua hazipitiwi na watu Ni mfumo. Hakikisha barua yako inaweza kutambuliwa na mfumo aka Robot
Mimi nawapongeza TANESCO , namba yao mara zote nikiwa na shida wanapokea na kunitatulia shida yangu. Hongera kwao.Nafikiri hili ni kwa taasisi za serikali asilimia kubwa hazina huo utaratibu wa kupokea simu. Zimewekwa tu kama geresha. Nilijaribu kwa miezi kadhaa idara ya maji Arusha (AUWSA) aisee🤧🤧🤧🤧
Ndio ilivyo ,, mfumo unacomandiwa unaselect kutokana na vigezo tajika .Unajuaje mambo haya ?
Shida za madogo hawasomi tangazo la kazi vizuri,,,umeambiwa umwa address mwajiri fulani,,,yeye barua anaiandikia sekretarieti ya ajira,,,Wahuni tu hawa. Huwa wana disqualify watu kwa sababu ambazo hazipo. Kuna dogo hajawa selected kwa kuambiwa " Wrong application letter attached ". Lakini uki view barua ni ya maombi ya hiyo hiyo position. Wanatia hasira sana, wanawaumiza sana madogolasi.
Hapo lazima mfumo ukuteme mapema tu. Anawani ndio kitu Cha msingi kuliko kiini Cha baruaShida za madogo hawasomi tangazo la kazi vizuri,,,umeambiwa umwa address mwajiri fulani,,,yeye barua anaiandikia sekretarieti ya ajira,,,
Huu ni uongo mkubwa sana,,,barua zote zinapitiwa na watu wa taasisi husika,,ukiona tangazo la kazi la halmshauri flani ujue yale maobi yanaenda huko halmashauri na maafisa utumishi wanapitia kupitia mfumoUkumbuke barua hazipitiwi na watu Ni mfumo. Hakikisha barua yako inaweza kutambuliwa na mfumo aka Robot
Email yenyewe wanatumia muda sana kujibu, unaweza kaa hata wiki tatu ndio wajibuMkuu anaisain vipi ikiwa kwenye soft copy? Au anaidika alaf ana i attach kama pdf?
Sio rahisi mtu mwenye akili Kama zako kuelewa ninacho kielezaHuu ni uongo mkubwa sana,,,barua zote zinapitiwa na watu wa taasisi husika,,ukiona tangazo la kazi la halmshauri flani ujue yale maobi yanaenda huko halmashauri na maafisa utumishi wanapitia kupitia mfumo
Hapo lazima mfumo ukuteme mapema tu. Anawani ndio kit
Nakujibu sababu nipo kwenye hii field na hapa nilipo nafanya kazi ya shortling ya watu walioomba kazi kwenye mfumoSio rahisi mtu mwenye akili Kama zako kuelewa ninacho kieleza
Unaweza kunifutia vyeti vyangu vyote nianze kuweka upya...?Hello, Kama bado una tatizo ajira portal wasiliana nami kwa 0623446608
Yes, tuwasilane kwa contact tajwaUnaweza kunifutia vyeti vyangu vyote nianze kuweka upya...?
Unaweza kunifutia vyeti vyangu vyote nianze kuweka