Mimekupa dislikeHizo likes huwa ni msosi?
kwanini nitulie🤣🤣Tulia wewee😊
Max mwenyewe mpaka awezeshwe 🤣🤣🤣Max awalipe laki laki kila mwezi.
Nimeona last seen yake ni Jana, itakuwa kabanana na majukumu...Daaa kitambo sana...sijui kakimbilia wapi
Naunga mkono hojararaa reree
min -me
Mna dunia ya pekee yenu humu JamiiForums
JamiiForums wawafikirie kuwapa identification ya tofauti na sisi 🙏
hakuna matata..Umeguna bhana😔
🥰Kaongezeka na kipanga85 CODE-04 bila kumsahau na Half american kubwa lao🥴raraa reree
min -me
Mna dunia ya pekee yenu humu JamiiForums
JamiiForums wawafikirie kuwapa identification ya tofauti na sisi 🙏
Punguzeni kula popo kule kisiwani kwenu Shabani, wanatoweka.Oya Msuya.
Oya Mwanangu Shirima.
Hawa wana beep tu