Ni Kama umepiga kwenye sikioWatoa likes wawe wanapewa likes nyingi.Siyo mtoa likes unakuta comment yake iko na like mojaπ³π....Jitahidini members...kuoneshana upendo siyo gharama.
Nimewasemea eti!?π₯΄
kumbe ni baba yako?raraa reree babangu umefikiwa
ni my love..kumbe ni baba yako?
kumbe mnalaviana humu, lakini si umeolewa au mume ndio huyuni my love..
Nyamwi255 unataka kupelekewa moto πni my love..
Nimeolewa ndio...ila yeye sio mume wangukumbe mnalaviana humu, lakini si umeolewa au mume ndio huyu
Siku ipi hiyo πNdio bby kama siku Ileπ
We mama ndoa hata mwezi haijamaliza ushaanza na kidumu ikifika mwaka si utakuwa na matank?Nimeolewa ndio...ila yeye sio mume wangu
Ni kidumu changu tu
Acha kujizima data sweetheart πSiku ipi hiyo π
Nilikuweka style ipi πAcha kujizima data sweetheart π
Mwezi Ushaisha tunaenda Wa tatu...We mama ndoa hata mwezi haijamaliza ushaanza na kidumu ikifika mwaka si utakuwa na matank?
Na mumeo anajua?Mwezi Ushaisha tunapenda Wa tatu...
Si Ile ya bandari imeuzwaπNilikuweka style ipi π