min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hahahaha pole sana rafiki😁Itakua sijakukubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha pole sana rafiki😁Itakua sijakukubali
kuwa na upendo basiItakua sijakukubali
Unanipangia?kuwa na upendo basi
Nitamzalia mtoto mmoja wa kikeNyie inafaa muishi pamoja...Ila usizalie watoto wengi huyo
Kwa nini umesema hivyo madam?Nyie inafaa muishi pamoja...Ila usizalie watoto wengi huyo
Mimi nataka watoto wawili, mmoja tayari bado mmojaMmoja hapana...
at least wawili(utasikia unanipangia🙄 huchelewi)
Usijifanye kua hutaki kumbe unataka🙄Kwa nini umesema hivyo madam?
Nataka nini😁Usijifanye kua hutaki kumbe unataka🙄
Zinachangamsha tu, lakini kama umeanzisha uzi zinatia moyo kuwa kuna wasomajiKwani faida ya hizi Likes hua ni nini hasa?
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu.
Ulinitia wewe?mimi si najua utakuwa na mimba changa tu
Thanks mkuu kwa haya maelezo.Zinachangamsha tu, lakini kama umeanzisha uzi zinatia moyo kuwa kuna wasomaji
UnanichoshaNataka nini😁