Watoa Motisha, leo Taifa Stars inacheza

Hakuna hata ahadi ya soksi
 
Yuwapi mtoa motishamkuu Makonda!!! Maisha yanakwenda Kasi Sana.
 
Aliyemwambia kwamba Taifa stars ni kipaumbele chetu cha kwanza ni nani?

Labda motisha wapewe Benin Ili waifunge stars
 
Tayari tushapigwa KO huko,tuna ya kujifunza kwelikweli na tutaishia kusema kila siku tunazidi kuimarika...ila shikamoo mfungaji wa bao,bonge moja la bao
 
Tayari tushapigwa KO huko,tuna ya kujifunza kwelikweli na tutaishia kusema kila siku tunazidi kuimarika...ila shikamoo mfungaji wa bao,bonge moja la bao
Nilikuwa uwanjani leo dah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…