Watoa povu

Watoa povu

Na yeye anakusifia kama wewe unavyomsifia?
Wanasema "ni vigumu kumshauri mwanamke aliyezama kwenye penzi au mwanaume mwenye pesa"
Usijekuta ana I'd nyingine huku halafu wewe kakupa fekero.
Nitacheka Mimi hahahaha
 
Hanisifiii na wala hanipendi najipendekeza tu kwake
Anza tu kucheka sasa
 
Back
Top Bottom