Watoa rushwa waliopitishwa na wajumbe wasishinikize wagombea wao kupitishwa

Watoa rushwa waliopitishwa na wajumbe wasishinikize wagombea wao kupitishwa

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Wapo baadhi ya waliogombea kupitia CCM ambao walitumia rushwa wanaendelea kutumia rushwa ili kushinikiza wateuliwe na kuwa wagombea huku wakijua wazi wametumia rushwa.

Napenda kuwaasa kuwa CCM ipo macho na inawaona masaa 24 na hivyo wasitumie pesa kujimwambafai kwa kukusanya vikundi vya watu ili kuonesha kuwa wamedhulumiwa.

Ikumbukwe kua Katibu Mkuu wa CCM alitahadharisha kuwa baada ya kura za mapendekezo ya wajumbe yapo maamuzi ya Chama kulingana na taarifa lukuki kuhusu wagombea.

Kama unahoji kwa nini umekatwa fuata utaratibu wa kuhoji na sio kuhamasisha vurugu.

Hivyo kuendelea kutumia rushwa kuitisha vyombo vya habari na kuonesha timbwili ni kosa vile vile.
 
Hao wenyeviti wa wilaya na mikoa wote walichaguliwa kwa kutoa rushwa; hivyo kwao kuhonga is a non issue!
 
Tabia ya kutoa rushwa haishii kwenye chama.

TAKUKURU wa sehemu husika ni muhimu kuwaweka nyavuni hawa wahuni ambao mara zote hutuletea viongozi watoa rushwa.
ni haramu kwa aliyetoa rushwa kupitishwa, akihisi yeye ni rijali wa kutumia rushwa CHAMA kimkate bila woga, akienda kuorganise maandamano adakwe tu.
 
Back
Top Bottom