Tabia ya kutoa rushwa haishii kwenye chama.
TAKUKURU wa sehemu husika ni muhimu kuwaweka nyavuni hawa wahuni ambao mara zote hutuletea viongozi watoa rushwa.
ni haramu kwa aliyetoa rushwa kupitishwa, akihisi yeye ni rijali wa kutumia rushwa CHAMA kimkate bila woga, akienda kuorganise maandamano adakwe tu.