Watokao nchi za Shilole ni nchi za namna gani?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Nimemsikia baba mmoja akimweleza mwenzake kwamba sasa hivi watu wanamshambulia rais Trump wa marekani kwa kuwatukana watu watokao Haiti na Afrika kwamba watu hao wanatoka nchi za shilole na hawatakiwi amerika.Huyo mzee akamwomba mwenzake amweleze maana ya nchi za "shilole"

Kama wajua mweleze huyo mzee.
 
Shilole shithole pango chafu kibudu [emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️[emoji377][emoji377][emoji377]
 
Shilole shithole pango chafu kibudu [emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️[emoji377][emoji377][emoji377]
Asante sana mdau umenithibitishia nilichokuwa nawaza. Huyo mzee niliyemtaja bila shaka alisoma harakaharaka jina la kiingereza la 'shithole' kwake likaonekana 'shilole'
Mdau, nakushukuru sana kunisaidia.
 
Kingereza itakuwa lugha yake ya tatu...

Shilole ni nchi ya matumaini, nchi ya kufanya kazi usiku na mchana...

Cc: mahondaw
 
Yaani huyu Trump katuchoka kabisa Africa. Yaani naona hatamani hata kutuona tukiishi duniani.

Mbona ubaguzi aliuanza mapema tu kwenye kampeni zake.
Sasa anatekeleza tu mawazo yake.

Huu ni mpango Wa wazungu, wanamtumia tu Trump kama siraha kwetu.
 
Asante sana mdau umenithibitishia nilichokuwa nawaza. Huyo mzee niliyemtaja bila shaka alisoma harakaharaka jina la kiingereza la 'shithole' kwake likaonekana 'shilole'
Mdau, nakushukuru sana kunisaidia.
Sawa mdau, utakioata ukitakacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…