princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
sitakagi masihara[emoji23][emoji23]Shikamoo Princess Ariana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1619]
Waliimba akina feruz....anaimba hadi unatoa chozi....mziki umebadilika bhana...watu wanataka melody iwe nzuri basi....tafuta lyrics za nyimbo za davido utacheka ufe coz ni pumba tupu...bt anamake moneyna hao anaoimba nao vilugha vyao na vingereza uzuri tunawaelewa nao hawaimbagi vitu vya maana pia[emoji23][emoji23][emoji23]
bila bila!
mziki ni beat,flowz
mbona tunapenda miziki ya akina manfongo
"tekenya tekenya tekenya"
em niambie ndugu kuna cha maana hapo?
lakini unakuta watu wanaruka kama wanasikiliza remmy ongala ..
hao akina akina wizkid
"Girl, I go follow you bumper to bumper
Girl, I go follow you bumper to fender
Oh baby ohh whine your waist
Girl, I promise to be your defender
Girl, I go love january to december
Tell dem hater, send back to sender
kuna cha maana hapo?
mziki wa kuimba upo, na wa kisasa upo!
mziki mzuri waliimba kina mbaraka mwishehe!!
siku hizi ni kuruka tu ...ilimradi watu wamependa!
sasa kama wafatisha mashairi mazuri utaumia moyo..
maana hao wa mashairi mazuri hawana maendeleo yoyote!
hakuna mzki tena mkuuna hao anaoimba nao vilugha vyao na vingereza uzuri tunawaelewa nao hawaimbagi vitu vya maana pia[emoji23][emoji23][emoji23]
bila bila!
mziki ni beat,flowz
mbona tunapenda miziki ya akina manfongo
"tekenya tekenya tekenya"
em niambie ndugu kuna cha maana hapo?
lakini unakuta watu wanaruka kama wanasikiliza remmy ongala ..
hao akina akina wizkid
"Girl, I go follow you bumper to bumper
Girl, I go follow you bumper to fender
Oh baby ohh whine your waist
Girl, I promise to be your defender
Girl, I go love january to december
Tell dem hater, send back to sender
kuna cha maana hapo?
mziki wa kuimba upo, na wa kisasa upo!
mziki mzuri waliimba kina mbaraka mwishehe!!
siku hizi ni kuruka tu ...ilimradi watu wamependa!
sasa kama wafatisha mashairi mazuri utaumia moyo..
maana hao wa mashairi mazuri hawana maendeleo yoyote!
waliimba kina feruz ,mb doggWaliimba akina feruz....anaimba hadi unatoa chozi....mziki umebadilika bhana...watu wanataka melody iwe nzuri basi....tafuta lyrics za nyimbo za davido utacheka ufe coz ni pumba tupu...bt anamake money
lakini hapo hapo wanaona tu diamond ndo anaimba vitu vya ajabu...hakuna mzki tena mkuu
Eti hajui.kunichuna .mboga 7 ndo nini sasa
kichechefu kweli kweli[emoji180]
sikilizeni yimbo za.legendary Bob marley utajua kuwa kizazi kile kimeisha
critical thinking hakuna.kabsa,nyimbo ipo ipo.
oooh ngoma kali jamani.. nmetumia 10ml kushoot video sA duh.
bora Mimi.npo na legendary wangu senzo ,alpha blond ,Bob marley ,Peter tosh, John hill (culture) nk ,nyimbo zao.kwa kweli zina feeling and real emotions songs.
sikiliza wimbo wa senzo .nothing but prayer utajua kuwa wasanii wetu wana low thinking capacity
.r.I.p.legendaries
naipenda sana senzo jah guide huwa siichoki kusikilizahakuna mzki tena mkuu