Watora Mari: Jah anaappreciate mchango wa Chibu lakini kwetu huku Tz hakuna

Alikiba -ommy dimopoz-vanessa mdee
Au umeanza juzi kufuatilia mziki
 
na hao anaoimba nao vilugha vyao na vingereza uzuri tunawaelewa nao hawaimbagi vitu vya maana pia[emoji23][emoji23][emoji23]

bila bila!
mziki ni beat,flowz
mbona tunapenda miziki ya akina manfongo
"tekenya tekenya tekenya"
em niambie ndugu kuna cha maana hapo?
lakini unakuta watu wanaruka kama wanasikiliza remmy ongala ..
hao akina akina wizkid

"Girl, I go follow you bumper to bumper
Girl, I go follow you bumper to fender
Oh baby ohh whine your waist
Girl, I promise to be your defender
Girl, I go love january to december
Tell dem hater, send back to sender

kuna cha maana hapo?

mziki wa kuimba upo, na wa kisasa upo!
mziki mzuri waliimba kina mbaraka mwishehe!!
siku hizi ni kuruka tu ...ilimradi watu wamependa!
sasa kama wafatisha mashairi mazuri utaumia moyo..
maana hao wa mashairi mazuri hawana maendeleo yoyote!
Waliimba akina feruz....anaimba hadi unatoa chozi....mziki umebadilika bhana...watu wanataka melody iwe nzuri basi....tafuta lyrics za nyimbo za davido utacheka ufe coz ni pumba tupu...bt anamake money
 
hakuna mzki tena mkuu
Eti hajui.kunichuna .mboga 7 ndo nini sasa

kichechefu kweli kweli[emoji180]

sikilizeni yimbo za.legendary Bob marley utajua kuwa kizazi kile kimeisha

critical thinking hakuna.kabsa,nyimbo ipo ipo.

oooh ngoma kali jamani.. nmetumia 10ml kushoot video sA duh.

bora Mimi.npo na legendary wangu senzo ,alpha blond ,Bob marley ,Peter tosh, John hill (culture) nk ,nyimbo zao.kwa kweli zina feeling and real emotions songs.

sikiliza wimbo wa senzo .nothing but prayer utajua kuwa wasanii wetu wana low thinking capacity
.r.I.p.legendaries
 
Hanini handichagoni
Usaoma moyo Kunge njani, SAAAMAAAH
 
And I never let you go,
Lemme Give you some more,
coz Am falling every minute for you,
 
Waliimba akina feruz....anaimba hadi unatoa chozi....mziki umebadilika bhana...watu wanataka melody iwe nzuri basi....tafuta lyrics za nyimbo za davido utacheka ufe coz ni pumba tupu...bt anamake money
waliimba kina feruz ,mb dogg
nani waliimba kama daz nundaz nyimbo hadi leo hazichuji,unaweza angusha chozi
lakini faida hawakuiona na hawaioni
maisha yamebadilika lakini watu wanakariri
 
hakuna mzki tena mkuu
Eti hajui.kunichuna .mboga 7 ndo nini sasa

kichechefu kweli kweli[emoji180]

sikilizeni yimbo za.legendary Bob marley utajua kuwa kizazi kile kimeisha

critical thinking hakuna.kabsa,nyimbo ipo ipo.

oooh ngoma kali jamani.. nmetumia 10ml kushoot video sA duh.

bora Mimi.npo na legendary wangu senzo ,alpha blond ,Bob marley ,Peter tosh, John hill (culture) nk ,nyimbo zao.kwa kweli zina feeling and real emotions songs.

sikiliza wimbo wa senzo .nothing but prayer utajua kuwa wasanii wetu wana low thinking capacity
.r.I.p.legendaries
lakini hapo hapo wanaona tu diamond ndo anaimba vitu vya ajabu...
tatizo watu wametawaliwa na chuki zaidi ka chibu
kama upuuzi bong of leva kila mtu anaimba.
hizo chupi ndo mama weeeh
lakini makombora yote ameelekezewa mtu mmoja hapo ndipo sielewagi
 
hakuna mzki tena mkuu
Eti hajui.kunichuna .mboga 7 ndo nini sasa

kichechefu kweli kweli[emoji180]

sikilizeni yimbo za.legendary Bob marley utajua kuwa kizazi kile kimeisha

critical thinking hakuna.kabsa,nyimbo ipo ipo.

oooh ngoma kali jamani.. nmetumia 10ml kushoot video sA duh.

bora Mimi.npo na legendary wangu senzo ,alpha blond ,Bob marley ,Peter tosh, John hill (culture) nk ,nyimbo zao.kwa kweli zina feeling and real emotions songs.

sikiliza wimbo wa senzo .nothing but prayer utajua kuwa wasanii wetu wana low thinking capacity
.r.I.p.legendaries
naipenda sana senzo jah guide huwa siichoki kusikiliza
 
Back
Top Bottom