Watoto 5 na watu wazima 4 hufa kila siku Hospitali ya Musoma

Watoto 5 na watu wazima 4 hufa kila siku Hospitali ya Musoma

siku kumi na moja zimepita kuanzia niweke bandiko hilo hapo juu.

kwa mujibu wa maelezo ya Mugishangwe, kuanzia tarehe 21 october hadi leo hii, watoto zaidi 95 na watu wazima 76 wamekufa katika hospitali hiyo ya Musoma. Kuna wilaya zaidi ya mia moja Tanzania na zingine hali yake inatisha kuliko musoma so do your math!

Wakati hivi vifo vikiendelea, Kikwete anapanga safari nyingine ya kuja US for a week kabla ya kwenda Asia kutalii kwa visingizio vya umatonya na kuchoma mabilioni ya pesa!

sob sob sob sob sob.......
 
'UMATONYA' is a term if you are not A tanzanian you will never understand! Ni sahihi kuandika hivyo. Matonya alikuwa na strategy nzuri tu ya kutafuta mali kulala chali barabarani. Lakini huyo new matonya wa Tanzania ya awamu aya nne anaunguza na akipata huenda 10% ni yake. Well done kutumia lugha ya picha.
 
SIku nyingi sasa zimepita kuanzia hii thread iwekwe hapa.

Kwa speed ilotajwa hapa, watoto na watu wazima kwa mamia wamekufa huku JK akiunda tume za kuelezea kile ambacho tume zingine zilizotumia mamilioni zimeelezea bila kusikilizwa na yeyote akiwemo Kikwete mwenyewe
 
najua wewe ni mpinzani lakini kwa mwenendo wako huu hata katika upigaji kura utaandika JK angalau huo unaweza usiwe uamuzi wako! JK tokea lini amekuwa daktari ?
 
Masuala yanahitaji kuchunguzwa. These are shocking data and immediate action
 
Back
Top Bottom