Watoto 7000 wafaulu Mbozi kidato cha kwanza bila kujua kusoma wala kuandika

commited

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,624
Reaction score
871
SOURCE ITV

Zaidi ya watoto 7000, wilayani mbozi-mbeya wamefaulu kuingia kidato cha kwanza huku hawajui kusoma wala kuandika.

Na mwaka 20111/2012 watoto 28,000 walifaulu bila kujua kusoma wala kuandika, na waliochukuliwa kuingia kidato cha kwanza takribani 70% ni wale waliopata daraja la D na F,

Hii ndio tanzania, maendeleo tusahau kwa huu mwendo wa kuleta siasa katika elimu

Cc; ritz, chama, wingu et al...
 
Tanzania nchi yangu yenye amani nakupenda kwa moyo wangu wote.

Watoto wa viongozi wanasoma njee na shule za mamilioni lakini sie shule zetu hata hawaboreshi na matokeo yake ndo kama haya.
 
...mtihani wenyewe wa ana ana anado...hata mama wa bibi yangu angefaulu maana hata yeye alikuwa na bahati.
 
mwalimu wa shule ya msingi mshahara wake ni sawa na posho ya mbunge kwa siku moja unategemea nini! maisha ni magumu kwa wabunge si kwa walimu
 
Kama hii ni habari ya kweli basi hili ni janga lingine na pengine ndo bomu alilosema mh EL kwamba linasubiriwa kulipuka. Ooh Mbozi my home, so sad!
 
Asa mwigulu ana acha kudeal na issue hzi yeye anadeal na matusi jukwaan yani mambo yote haya ni sera na mfumo mbovu wa ccm tunalaisha vibaka sasa badala ya wasomi
 
mkuu Mwigulu Nchemba ni mchawi na serial killer, humuogopi?
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa mwalimu! Napinga suala la kusema mtoto anavuka darasa moja kwenda jingine bila kujua kusoma na kundika!
Nifaamucho vyema ni kuwa, wazazi wengi hasa wa jamii za kifugaji na wachache wa kikulima huwaambia watoto wao "wajifelishe" ili warudi kutumikia jamii zao na kuolewa.
Tuwe wakweli na tusikimbilie kutupa lawama za kisiasa! Sote hapa tumepita shule za msingi hebu mmoja ataje kama wakati wanamaliza la saba kulikuwa na hata wanafunzi watano wasiojua kusoma na kuandika! EXAGGERATION ni adui mkubwa!
 
mkuu ni wakati huo we unasoma kulikuwa na elimu bora siasa haikuwepo kwenye elimu,kumbuka enzi hizo kuna shule ilikuwa inapita miaka bila kufaulu mwanafunzi yeyote leo hii wanafunzi anajibu maswali kwa anaanado?!!
 
Nikiwa mwalimu! Napinga suala la kusema mtoto anavuka darasa moja kwenda jingine bila kujua kusoma na kundika!
Nifaamucho vyema ni kuwa, wazazi wengi hasa wa jamii za kifugaji na wachache wa kikulima huwaambia watoto wao "wajifelishe" ili warudi kutumikia jamii zao na kuolewa.
Tuwe wakweli na tusikimbilie kutupa lawama za kisiasa! Sote hapa tumepita shule za msingi hebu mmoja ataje kama wakati wanamaliza la saba kulikuwa na hata wanafunzi watano wasiojua kusoma na kuandika! EXAGGERATION ni adui mkubwa!

Suala si kutojua kusoma na kuandika, tunaposema ni janga ni pale mmwanafunzi asiyeweza kusoma na kuandika nafaulu kuendelea na elimu ya sekondari.

Nilisikia kuna mtihani wa taifa, ambao maswali na majibu yapo kwenye mtandao usiofunguka wa wizara, sasa naomba kukuuliza, ikiwa kama mtihani wa taifa ulithibitisha ya kwamba wanafunzi hao walifaulu, je kuna haja gani ya mtihani mwingine wa taifa?
Naamini unajua sifa za mitihani hususani (achievement tests) ya taifa ya kwamba reliabilityy na validity ni vigezo muhimu sana.
 
SOURCE ITV

Zaidi ya watoto 7000, wilayani mbozi-mbeya wamefaulu kuingia kidato cha kwanza huku hawajui kusoma wala kuandika.

Na mwaka 20111/2012 watoto 28,000 walifaulu bila kujua kusoma wala kuandika, na waliochukuliwa kuingia kidato cha kwanza takribani 70% ni wale waliopata daraja la D na F,

Hii ndio tanzania, maendeleo tusahau kwa huu mwendo wa kuleta siasa katika elimu

Cc; ritz, chama, wingu et al...

Kwa mujibu wa idara ya elimu wilayani humo, 70% ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari hawajui kusoma wala kuandika,
Sasa wanafunzi hao huko sekondari sijui wanakwenda kufanya nini yarab!
 
Back
Top Bottom