Asa mwigulu ana acha kudeal na issue hzi yeye anadeal na matusi jukwaan yani mambo yote haya ni sera na mfumo mbovu wa ccm tunalaisha vibaka sasa badala ya wasomi
Nikiwa mwalimu! Napinga suala la kusema mtoto anavuka darasa moja kwenda jingine bila kujua kusoma na kundika!
Nifaamucho vyema ni kuwa, wazazi wengi hasa wa jamii za kifugaji na wachache wa kikulima huwaambia watoto wao "wajifelishe" ili warudi kutumikia jamii zao na kuolewa.
Tuwe wakweli na tusikimbilie kutupa lawama za kisiasa! Sote hapa tumepita shule za msingi hebu mmoja ataje kama wakati wanamaliza la saba kulikuwa na hata wanafunzi watano wasiojua kusoma na kuandika! EXAGGERATION ni adui mkubwa!
mkuu Mwigulu Nchemba ni mchawi na serial killer, humuogopi?
Nikiwa mwalimu! Napinga suala la kusema mtoto anavuka darasa moja kwenda jingine bila kujua kusoma na kundika!
Nifaamucho vyema ni kuwa, wazazi wengi hasa wa jamii za kifugaji na wachache wa kikulima huwaambia watoto wao "wajifelishe" ili warudi kutumikia jamii zao na kuolewa.
Tuwe wakweli na tusikimbilie kutupa lawama za kisiasa! Sote hapa tumepita shule za msingi hebu mmoja ataje kama wakati wanamaliza la saba kulikuwa na hata wanafunzi watano wasiojua kusoma na kuandika! EXAGGERATION ni adui mkubwa!
SOURCE ITV
Zaidi ya watoto 7000, wilayani mbozi-mbeya wamefaulu kuingia kidato cha kwanza huku hawajui kusoma wala kuandika.
Na mwaka 20111/2012 watoto 28,000 walifaulu bila kujua kusoma wala kuandika, na waliochukuliwa kuingia kidato cha kwanza takribani 70% ni wale waliopata daraja la D na F,
Hii ndio tanzania, maendeleo tusahau kwa huu mwendo wa kuleta siasa katika elimu
Cc; ritz, chama, wingu et al...