Watoto ambao Diamond anaomba akaombewe msamaha na Zari ni wapi haswa?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Mr Mchepuko, aka Chibu dangote aka Simba, amemwomba radhi mzazi mwenzie Zari kwa kuchepuka.

Lakini pia Ameendelea zaidi kumwomba Zari amwombee radhi kwa watoto wake wa "Sauzi" kwa "ujinga wake" wa kumsaliti mzazi mwenzie huyo!

Nimejiuliza tu, hao watoto wanaoenda kuombwa radhi kwa "baba" yao ku-mobetuka, ni wepi haswa?;

Ni Tiffa na Mdogo wake? Au ni wale wa Marehemu Ze Dongii?

BTW,
Kijana kaapa kwenda kwa magoti hadi "Sauzi" kuomba radhi kwa bebi wake iwapo atasikia kamagwa., good idea!

Ajitahidi tu kumkwepa Gigy anayemnyemelea kwa spidi kwani washajua hajui kusema no. Na ikitokea hiyo tena, ajiandae kutembea kwa makalio hadi "Sauzi" kubembeleza!!!

TehTehee...., Sijui nani alitulogaaaa (JPM).
 
Watoto wote wanaoishi na mzazi mwenzie[emoji15]
 
Nashauri Diamond akitemwa na Zari, afanye mchakato wa ku date na Kim Kardashian.
 
Hivi we ulidhani Diamond atakaa miaka yote hii hagongi mchepuko!!! [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haahaa! Nilijaribu kukaa 5yrs bila mchepuko,nimeshiiiiindwa na hizi safari za kikazi ndiyo balaa tupu.Uzuri sijasikia "baby nikwambie kitu,sioni siku zangu" kutoka mchepukoni.
 
aisee eti 'baby nikwambie kitu' hahaha
 
Angali bado unaishi na hujui kesho yako,kuna kauli za kutumia na kutotumia.Leo kwake kesho kwako.........I believe ni watoto wote as long as they are family,part of him.wale kaka wa watoto wake.......

Kakosea kashaomba radhi,kikubwa mshaurini asije akateleza tens sio kumnanga.
 
Mr Mchepuko, aka Chibu dangote aka Simba, amemwomba radhi mzazi mwenzie Zari kwa kuchepuka.

Lakini pia Ameendelea zaidi kumwomba Zari amwombee radhi kwa watoto wake wa "Sauzi" kwa "ujinga wake" wa kumsaliti mzazi mwenzie huyo!

Nimejiuliza tu, hao watoto wanaoenda kuombwa radhi kwa "baba" yao ku-mobetuka, ni wepi haswa?;

Ni Tiffa na Mdogo wake? Au ni wale wa Marehemu Ze Dongii?

BTW,
Kijana kaapa kwenda kwa magoti hadi "Sauzi" kuomba radhi kwa bebi wake iwapo atasikia kamagwa., good idea!

Ajitahidi tu kumkwepa Gigy anayemnyemelea kwa spidi kwani washajua hajui kusema no. Na ikitokea hiyo tena, ajiandae kutembea kwa makalio hadi "Sauzi" kubembeleza!!!

TehTehee...., Sijui nani alitulogaaaa (JPM).
Kwani Faru John ni Tsh Ngapi?
 
Haahaa! Nilijaribu kukaa 5yrs bila mchepuko,nimeshiiiiindwa na hizi safari za kikazi ndiyo balaa tupu.Uzuri sijasikia "baby nikwambie kitu,sioni siku zangu" kutoka mchepukoni.
Unachepuka na hutumii kinga.
 
Back
Top Bottom