Watoto chini ya miaka 15 wapigwa marufuku mtandaoni Ufaransa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966

​
Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii.

Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa sasa utapelekwa kwa Baraza la Seneti ili kupitishwa kuwa sheria. Rais Emmanuel Macron ameitaja kuwa hatua muhimu kuelekea kuwalinda watoto wa Ufaransa. Maafisa wa Serikali wanatumai kuwa mswada huo utaidhinishwa haraka kuwa sheria ili ianze kutekelezwa mwanzoni mwa mwaka mpya wa masomo nchini humo unaoanza mwezi Septemba.

Sheria hiyo ikipitishwa,itapiga pia marufuku wanafunzi kwenda shuleni na simu za mkononi.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…