Watoto "feki" wa Pierre Liquid waanza kujitokeza

ChangeTZ

Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
52
Reaction score
129
Kwa hali ambayo imedhihirika imepangwa ili kumchafua Pierre Liquid, watu wameanza kujitokeza kueleza kuwa wamezaa na Pierre. Tukumbuke mambo kama haya yalitokea nyakati za nyuma kuwachafua watu wenye mambo fualani kwa malengo maalu. TUMWOGOPE SANA MUNGU na tuache kuchukiana kutendeana ubaya. TUPENDANE. Mtoto mwenyewe huyu
 
Makonda ameanza ushamba wake....
Amemwita mlevi...
Amezuia kuwa brand ambassador
Leo anamzushia tena hili?

Kweli mwenye visa haachi visa
 
Mtoto ni yule anayesoma na yuko kwenye umri wa matunzo kisheria, hicho kijeba hakihusiki.
 
Fake news, lakini si DNA ipo, hakuna shida
 
Shida ikwapi jamani..DNA itumike. Ningekuwa Mimi ndo Pierre nisingekuwa na wasiwasi
 
Kamati ya roho mbaya imeanza kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…