Watoto "feki" wa Pierre Liquid waanza kujitokeza

Watoto "feki" wa Pierre Liquid waanza kujitokeza

Hakuna tatizo Pierre amwambie it's okay
Ila kwa sasa yupo busy na kubaki kileleni!!
 
Sasa jitu lina miaka 22, linatafuta nini kwa baba yake? Miaka 22 ni mtu ana familia na anategemewa, hili jamaa vipi?
 
Miaka 22 meaning liquid alimzaa at 20.

Huyo ana umri wa kulea familia yake siyo kulelewa.
 
Kwa hali ambayo imedhihirika imepangwa ili kumchafua Pierre Liquid, watu wameanza kujitokeza kueleza kuwa wamezaa na Pierre. Tukumbuke mambo kama haya yalitokea nyakati za nyuma kuwachafua watu wenye mambo fualani kwa malengo maalu. TUMWOGOPE SANA MUNGU na tuache kuchukiana kutendeana ubaya. TUPENDANE. Mtoto mwenyewe huyu View attachment 1063096

au kikao cha mlimani c. kimewaibua.
 
Back
Top Bottom