Watoto hawa jamani

Watoto hawa jamani

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Leo nimempeleka dogo shule, ana miaka 7,nilipokuwa kuwa naye shule akanionyesha mwalimu mmoja, eti baba unamuona yule mwalimu pale, nikamwambia ndiyo akasema ni muongo balaa.

Nikamuuliza kwanini, akajibu ni mwalimu wetu wa kishwahili lakini huwa anatupigiaga hadithi, eti baba we ushawahi kumuona sungura anaendesha baiskeli au tembo akaitisha mkutano harafu wanyama wote wakaja, nikamwambia amuheshimu mwalimu.
 
Ahsante kwakunijulisha mzazi, sikuwa najua ulikuwa unaongea nini na Junior. Naahidi kulifanyia kazi hili aliloliongea
 
Leo nimempeleka dogo shule, ana miaka 7,nilipokuwa kuwa naye shule akanionyesha mwalimu mmoja, eti baba unamuona yule mwalimu pale, nikamwambia ndiyo akasema ni muongo balaa.

Nikamuuliza kwanini, akajibu ni mwalimu wetu wa kishwahili lakini huwa anatupigiaga hadithi, eti baba we ushawahi kumuona sungura anaendesha baiskeli au tembo akaitisha mkutano harafu wanyama wote wakaja, nikamwambia amuheshimu mwalimu.
Watoto wetu wanafundishwa ujinga na serikali yetu inalijua hili hivi ni makusudi ya watawala wetu au wasomi wetu wajinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom