Watoto kadhaa nchini Misri wanaripotiwa kufariki baada ya kupewa dawa bandia

Watoto kadhaa nchini Misri wanaripotiwa kufariki baada ya kupewa dawa bandia

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
Watoto kadhaa nchini Misri wanaripotiwa kufariki baada ya kupewa kimakosa antibiotics bandia.

Katika kisa kimoja mtoto wa umri wa miaka miwili aliyekuwa na joto kali alifariki baada ya madaktari wa hospitali kumdunga dawa ambazo zilionekana kuwaghushi.

Vyombo vya habari vya Misri vinasema zaidi ya dawa feki zenye thamani ya $160m zimekamatwa huko katika mwezi uliopita pekee - ingawa tatizo ni la kimataifa.

Ripoti ya hivi majuzi ya jarida la American Journal of Tropical Medicine and Hygiene ilikadiria kuwa dawa ghushi huua watoto 300,000 kila mwaka.
 
Back
Top Bottom