wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Kina zikwe ahahahhaKunakipindi Cha zamani Tbc kilikuwa kinaitwa KILIMANINSESAME aisee ile ni bonge la project nimeitafuta mtandaoni sijaipata naona akili akili wanaibia kidogo maudhui yake
watoto wa kiume wanapenda action, wameumbwa kufanya zaidi action na ulimwengu wa wanaume ni vitendo zaidi,Mieleka sio mizuri hasa wakiinga ile mitupio. Kuna cartoon ya zamani ilikua inaitwa SARA ilikua nzuri sana na mafundisho mengi
pale TV Tumainihadithi za bibilia/quran za katuni
apakue mitandaoni awe anawawekeapale TV Tumaini
ila je atawatengea TV yao? maana ukiwamix na watu wazima haikai sawa
ishu yangu ni kua sasa iwapo wanashare TV na watu wazima still lazima wawe exposed vya vitu anavowakinga navyoapakue mitandaoni awe anawawekea
tv za siku hizi zina HDMI, USB mambo ni chap
awawekee tv chumbani, au anunue tablet...ishu yangu ni kua sasa iwapo wanashare TV na watu wZima huon kutakua na vurugu?
labda aseme anawatengea ya kwao kuwa mix lazima wapate exposure ya anavowakinga navyo