Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Wakuu!
Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu watoto waliozaliwa 90 na watoto waliozaliwa 2000.
Kwanza kabisa inabidi uelewe watoto wa 90 ni wale watoto waliotokana na wazazi waliozaliwa miaka kati ya 40+/50 na 60+. Wakati huo huo watoto wa 2000 ni watoto waliozaliwa na wazazi wa miaka kati ya 70+ na 80+.
Kwa hio utaona hivi vizazi vinatofautiana utagundua watoto wa 90 wazazi wao ni wale ambao walikuwepo tangu enzi za uhuru yaan wazazi wao wamegusa kipindi hicho cha ukoloni na wanauelewa ulikuaje yaan wana uelewa mpana wa kipindi hicho kulikua na nini na nini kilifanyika na mengineyo.
Kizazi cha 2000 ni kizazi kilichotokana na watoto wa miaka ya 70+ na 80+ baada ya uhuru yaan kwa kutumia hesabu rahisi unaona kabisa vijana wa 2000 wengi ni zao la wazazi wa miaka 70+ na 80+ ndio kinakuja kizazi cha 2000.
Ukiangalia kwa kiasi kikubwa watoto wa 90 sio watoto wenye labsha labsha nyingi sana na wanayaendea maisha kwa nidhamu na uoga kwa uelewa wao maana wanazingatia maagizo na makatazo ya wazazi wao ambao wengi wao ni wa miaka ya nyuma sana kwa kipindi hiki cha 2025 wengi wao ni wazee kabisa.
Lakini pia tukirudi kwa watoto wa 2000 wengi wao wazazi wao ni vijana kabisa wengi wao wana umri wa kawaida kabisa kiasi cha watoto kutenda vile wapendavyo wao kufanya bila kufuata makatazo, maelekezo, maagizo na miiko waliyowekewa na wazazi wao ambao wengi miiko hio wameichukua kutoka kwa wazazi wao, kwa hio unaona kwamba familia ya watoto wa 2000 utaona baba kijana, mama kijana na mtoto kijana. Hata wakisimama humjui mama ni nani na mtoto ni nani maana wanalingana.
Lakini pia wapo wazazi wa 70+ na 80+ ambao huona yale maagizo, miiko na makatazo ya wazazi wao yamepitwa na wakati hivyo wanaamua kuishi na usasa. Waonekane wa kisasa zaidi na wakimbizane na teknolojia zaidi bila kujua kwamba teknolojia haitoacha kuwepo na haitochuja wala kuisha leo wala kesho, teknolojia itakuepo, ipo na itaendelea kuwepo na itakuja teknolojia yenye nguvu zaidi kuliko hii iliyopo sasa.
Wazazi wa 70+ na 80+ ambao ndio waliowazaa watoto wa 2000, wamefanya kosa ambalo halikufanywa na wazazi wa 40+, 50+ mpaka 60+ ambao waliwakuza watoto wao kwa maonyo, makatazo na miiko kwamba hiki fanya na hiki usifanye. Waliwapa maonyo km kuheshimu wakubwa, wakubwa ukiwaona fanya hivi usifanye hivi.
Kwanini wazazi wa 70+ na 80+ waliamua kuacha kufanya hivyo? Waliamua kufanya hivyo sababu ya kuona kwamba yale waliyokua wakifanyiwa na wazazi wao yalikua yakiwanyima uhuru wao zaidi, hivyo basi wakaamua kuenda kinyume na vile walivyokua wamejengwa hapo kabla na kuamua kuwaachia watoto wao wa 2000 wajiendee wenyewe jinsi wanavyotaka huku teknolojia ikiwachukua na kuwameza mazima.
Wazazi wa 40+, 50+ mpaka 60+ wengi wao waliweza kufanya shughuli mbalimbali za kutumia mikono km kutengeneza vyungu, mikeka, sahani za udongo, vikombe vya udongo, kutengeneza miko na nyungo, vikapu, mifagio, nk hizo ni baadhi ya shughuli ambazo nyingi zilifanywa na wazazi wa miaka hio ukiondoa shughuli za kilimo na ufugaji. Kipindi chao hakukua na simu za mikononi wala laptop, tablets wala kompyuta zaidi ya mashine za kuchapa maandishi kwenye karatasi na simu za mkonga pamoja na call box.
Wazazi wa miaka ya 70+ hadi 80+ ambao wameleta kizazi cha 2000 wao wameona kizazi cha kutengeneza vitu vya mikono sio kizazi chao hivyo wao watakitengeneza kizazi chao kwa namna yao huku kizazi hiki kikikumbwa na teknolojia kwa kwani kimekutana na mapinduzi ya teknolojia km kutumia simu ya mkononi, tablets na kompyuta hivyo cha kwanza wamekipa kizazi chao uhuru wa kuamua na uhuru wa kuchagua.
Labda niseme hivi....
Km umezaliwa 90 wewe sasa hivi una miaka 35 kasoro huku wazazi wako wakiwa wanacheza miaka 60+ hadi 70+ na pia km umezaliwa 2000 wewe sasa hivi una miaka 25 taslimu na wazazi wako wanacheza 40+ km wamechelewa basi ni 38 mpaka hapo.
Nimejaribu kuandika huu uzi kujaribu kuwatofautisha hawa watoto wawili kuonyesha jinsi gani wanatofautianaa pakubwa, watoto wa 2000 wamebebeshwa lawama kubwa sana zisizowahusu kwa sababu wa wazazi wao wa 70+ hadi 80+, huu ni ukweli mchungu acha tu usemwe na uonekane.
Wakati huo huo watoto wa 90 huwakuti wakisemwa vyovyote sababu ya kusimamia yale waliyofundishwa na kujengwa kimaadili na nidhamu na utii kuheshimu na kujisimamia kwenye misingi mizuri na wazazi wao wa 40+, 50+ na 60+.
Kwanini sasa watoto wa 2000 wanalalamikiwa sana?
Kuna sababu kadhaa zinazowafanya watoto wa 2000 kulalamikiwa na vizazi vingine vya nyuma, na kabla sijafika mbali watoto wa 2000 ndio wazazi wa kizazi cha 2025 na kuendelea mpaka 2039 ambapo hawa watoto wa 2000 watazaa na watoto wa 90 walio wengi.
Sababu moja wapo inayofanya watu walalamikie watoto wa 2000 ni kwamba teknolojia imewafikia kipindi ambacho ikiwa imechangamka sana tofauti na watoto wa 90 ambao walifikiwa na teknolojia ikiwa haijachangamka sana.
Mitandao ya kijamii imewachukua zaidi watoto wa 2000 kuliko watoto wa 90, watoto wengi wa 90 wamejiingiza kwenye mitandao kwa nidhamu kubwa sana na kuzingatia maadili yao bila kutenda kinyume na makatazo na kutambua nini wanafanya.
Kipindi hicho kulikua mpaka na kufunguliwa fb watoto wa 90 hata kufungua fb tu walikua hawajui mitandao ya kijamii ilikua haijawachukua kabisa kipindi hicho ila sasa watoto wa 2000 waliingia mazima kwenye mitandao bila kuangalia madhara yake.
Watoto wa 2000 wengi ni bongolala hili limenitoka acha tu niseme utandawazi na teknolojia imewabeba mazima, inaaminika hivyo sababu ya vithibitisho mbalimbali, kwanza ukirudi kwa wazazi wa miaka ya 40+, 50+ hadi 60+ ambao ndio wamekileta kizazi cha 90 wengi wao utakuta wana maktaba zao nyumbani ambazo walikua wakiwahimiza sana watoto wao kusoma wakiamini kwamba kitu pekee kinachoweza kuwapa maarifa ni elimu.
Lakini hio imekua kinyume kwa wazazi wa watoto wa 2000, wazazi hao ni wa miaka 70+ mpaka 80+ wazazi hawa wengi wanaamini katika ufaulushaji zaidi elewa neno ufaulushaji zaidi na sio upambanaji zaidi yaan wao hawataki kuumiza sana akili katika kulifanya jambo, jambo gumu gumu litafanywa na mashine, nazungumzia asilimia kubwa ingawa kwa asilimia chache wapo ambao hufanya km vile walivyoagizwa na wazazi wao, ukienda kwenye nyumba ya wazazi hao huwezi kumkuta akiwa na vitabu vya kuongeza maarifa wala maktaba ya vitabu hauwezi kukuta na ni nadra sana kuwakuta wakifanya hivyo na km wapo wanaofanya hivyo basi ni wachache sana.
Wazazi hao ambao watoto wao ndio hawa wa 2000 wamewaacha watoto wao wawe na uhuru wa kuchagua wenyewe kuishi vile wanavyotaka, kuishi wenyewe kuishi wanavyopenda ambapo wengi wamejikuta wakiingia kwenye kutenda mambo ambayo ni chukizo kwa watoto wa 90 na chukizo kwa wazazi wao pia.
Mfano baadhi ya wazazi wa mtoto wa 2000 amempeleka mtoto wake boarding school tangu chekechea wakati mtoto wa 90 ameishi na wazazi wake tangu akiwa chekechea. Unaona gepu hilo hapo, huyu wa 2000 anachota mafundisho kutoka kwa mtu ambae sio mzazi wake na huyu wa 90 anachota mafundisho kutoka kwa wazazi wake.
Sasa kutokana na mchanganyo wa watoto hawa wa aina hizi utegemee nini iwapo mtoto wa 2000 ataolewa na mtoto wa 90?
Mtoto wa 2000 akiolewa na mtoto wa 90 cha kwanza mtoto wa 90 atakachokibaini ni kwamba muda wote mtoto wa 2000 anatamani kubandika kucha za bandia jambo linalomfanya asijue kupika chochote jikoni kwa hio akiingia jikoni akarekebisha mambo kitu kinatoka kibichi yaani anatoa boko.
Mbaya zaidi watoto wa 2000 hawapendi kuishi na wadada wa kazi wanapoolewa wakihofia kuchukuliwa waume zao vijana wa 90 na wafanyakazi wa ndani hivyo huamua kukomaa wenyewe na ndoa zao.
Watoto wa 2000 wavivu kufua, wavivu kupika, wavivu kusali, wavivu wavivu kwenye mambo ya msingi ila kwenye suala zima la starehe, kupendeza na kubadirisha nguo, kubadirisha mitindo ya nywele sio wavivu muda wote utakuta wamekaririsha nyimbo zaidi kuliko kitu chochote. Hawapendi kazi ngumu ngumu za shuruba kazi zao nyingi ni zile za gusa achia twende kwao.
Watoto wa 2000 wengi wao sio wachache wengi wao wana hali fulani hivi ya kutarajia kisichotarajiwa haswa haswa wawapo kwenye mahusiano wanaingia kwa matarajio yasiyotarajiwa, wanapenda kuishi zaidi ya maisha ya tamthilya.
Kijana wangu wa 90 unapooa kijana wa 2000 elewa yafuatayo na ujue jinsi ya kukabiriana nayo, kwanza huyo binti wa 2000 ameshalala na idadi kubwa ya wanaume waliomzidi umri kuliko wewe mpaka hapo alipofikia, ameshameza sana P2 za kutosha ili kukwepa kua single mother, ameshatoa mimba kadhaa bila wewe kujua ili tu aukimbie usingomaza, ameshafanywa michezo yote ya kikubwa na watu waliomzidi umri kuliko wewe ambayo hata wewe hujawaahi kuifanya tangu uzaliwe kwa hio kua mpole usipanic utakachokutana nacho huko ndani.
Huyo wa 2000 hajui kufua kwa hio ukioa usifikiri utafuliwa nguo zako nunua mashine ya kufulia ikusaidie kufua kwanza anawaza kubandika kucha atafuaje peleka nguo zako kwa dobi, huyo mtoto wa 2000 hajui kupika ukioa jiongeze mwenyewe jinsi gani mtakavyokua mnakula mtakula mgahawani au utaamua kumpikia jiongeze hapo.
Huyo wa 2000 ukioa usisahau ana msongo mkali wa mawazo jua kwanza jinsi ya kuishi nae maana kuna kipindi aliachwa na mwanaume aliempenda sana kuliko wewe na hajamsahau hata sasa na baada ya kuachwa alitamani kujiua bahati nzuri akaenda kulia katikati ya uwanja ule msongo ulianzia pale haujafutika, huyo wa 2000 hacheki na yoyote kua makini sio kwamba umependwa wewe kimependwa ulichonacho.
Nimechoka kuandika nadhani kwa leo niishie hapa.