Watoto wa Cleopa Msuya watinga mahakamani kugombea mali

Familia tajiri huacha migogoro kwa wanafamilia, tofauti na familia masikini huacha madeni ya mazishi
Sio kweli, wengine hawana muda na pesa au mali za urithi. Sisi kwenye ukoo wetu watoto hawana muda na pesa au mali za urithi. Pesa au mali za urithi ambazo binadamu mwenzako alitafuta kwa jasho wewe unataka kujilia bure ndio chanzo cha kuzalisha familia za walevi, wazinzi na wapenda anasa. Familia haiwezi kuwa na maendeleo kwa kutegemea urithi. Familia inakufa inabaki masikini.
 
Kuna mtoto wa huyo mzee ni meneja wa benki moja hapo mjini kati sijaona jamaa alipomuandika,, yawezekana huyo ni wa nje ama namna gani vipi!!

Ila kwa nidhamu jamaa ana nidhamu humble hana tamaa wala kutembea kapandisha mabega, alinisaidia sana mwaka juzi, bila kunijua, mpaka sasa ameshakuwa family friend kimtindo, Mungu awasaidie wamalizane salama,
 
Huyo unayemsema jina lake ni Geoffrey Msuya lakini alishatangulia mbele za haki alikua anafanya kazi Citibank na alifariki mwaka 2005. Kama kuna mwingine sina hakika
Mkuu ulivyoelezea kwa kina na kwa namna unavyoifahamu hiyo familia...wewe ni nani? George, Job, Joyce, John au Angela?
Soma vizuri hapo juu nimesema nilifanya kazi na Mtoto wake mkubwa ama hujasoma?
Soma hapo juu
 
Mkuu unajua kua ile bank ya Mwanga lianzishwa na baba yao?
 
Wewe hebu acha basi ni wiki ilopita tu kawasiliana husband, yupo fiti kalikiti
 
Familia tajiri huacha migogoro kwa wanafamilia, tofauti na familia masikini hz na wuacha madeni ya mazishi
Huwa inatokea kama marehem hajazigawa au hakuandaa kiongozi, hapa ndipo wahindi wanatupita

Huwa wanandaa wasimamizi na warithi mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…