Watoto wa Cleopa Msuya watinga mahakamani kugombea mali

Huyo uliyemfuta ukifa anakimbilia mahakamani apewe mali
Mzee wangu alituzaa wengi na Kwa mama tofauti tofauti, na Kila mtu alisoma kadri ya akili zake na uwezo wake. Na alihakikisha Kila mtu kampatia urithi wake ,na Leo kupitia Mali za urithi hakika maisha yanaenda maana bila urithi Mimi mwalimu ningekufa Kwa umaskini,note somesha watoto wale urithi wao na wote wajue ,toto lile halikusikii FUTA kwenye idadi ya watoto wako na wambie wenzake Kwamba huyu fala Hana chake

HAYA YOTE NI MATOJEO YA SHERIA MBOVU NA ZA KIANITHI NA WANASHERIA NA MAHAKIMU NA MAJAJI WAPUMBAVU NA CCM NA BUNGE LA KIANITHI .... KOSA KUBWA SANA KUSEMA WOSIA UNATAKIWA KUWA SIRI ...SHERIA ILITAKIWA KUWA WAZI KUWA WOSIA NI LAZIMA UWE WAZI KWA WAUSIKA WOTE..SIYO MUACHA WOSIA AKIFA NDIYO UNASOMWA
Hata wosia unapingwa tu mkuu
 
Ni
Watoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.

Source. Gazeti la mwananchi
Hekima za Wazee wa Karibu na familia ikawasaidie ili kuondoa hizi aibu za uzeeni na kurudisha amani kwa familia.
 
Huyo uliyemfuta ukifa anakimbilia mahakamani apewe mali

Hata wosia unapingwa tu mkuu
Umeshindwa kuelewa logic na faida ya wosia kuwa open kabla ya kifo cha muandika wosia ...logic ni kwamba kama kuna tatizo basi lifumbuliwe na muhusika mkuu yaani muandika wosia siyo kuacha machafuko baada ya yeye aliye andika wosia kufa...
 
Sidhani kama itasaidia
 
Watoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.

Source. Gazeti la mwananchi
Mkuu hebu tuweke heading ya gazeti la mwananchi,najuwa mwanangu huwa hubatishagi
Ila kiukweli kuna wakati kama pesa ulizipata kwa magnum zitarudi kwa magnum tu
Utashanga mvurugano nk

Ova
 
Watoto watatu wa aliyekuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais wa Tanzania Cleopa Msuya wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa Mirathi ya baba yao .
Kisa hiki ni moja ya visa vingi vinavyotokea mara baada ya mmiliki wa mali anapofariki watoto au ndugu hufarakana sana na kupelekana mahakamani na wengine kufikia hatua ya kuuwana.

Source. Gazeti la mwananchi
Mali za wizi kugombewa ni wajubu
 
Yule aliyewahi kuwa Mbunge na naibu waziri wa kilimo kama sijakosea, wa Kuitwa Mathayo?..si nasikia mzee aliweka kambani huko pembeni?.

..Mathayo David sio mtoto wa Mzee Msuya.

..kama angekuwa mwanae angalau angeonekana kwenye msiba, au angejitokeza kwenye hii kesi.
 
Back
Top Bottom