Lamine_
JF-Expert Member
- Sep 5, 2026
- 213
- 361
Aah wapi hiyo itakua tamaa tu sio njaaNjaa ni njaa tu mkuu..
Aah wapi hiyo itakua tamaa tu sio njaaNjaa ni njaa tu mkuu..
Hamkutakiwa kugawana mlitakiwa mchague mmoja aendeleze pepo lakugawana mali ndio linaimaliza ngoz nyeusi hizi umewaisikia akina asas ama dewj wanagawana maliMtu yeyote msomi / familia ya wasomi haya mambo kugombea Mali za mzee utasikia kwa familia za mafukara wa AKILI (maskini wa akili) hakuna UMASKINI mbaya kama UMASKINI wa MAARIFA
NB. SISI MZEE ALITUPA ELIMU TENA AKASEMA HATA TUSIPO MSAIDIA KWA CHOCHOTE ATLEAST TUWEZE KUJIMUDU KABLA HAJAFA ALIHAKIKISHA MALI KAZIGAWA KWA ALIO WAPENDA FULL STOP
KILA SIKU HUWA NAZUNGUMZA NA WEWE KWENYE ULIMWENGU WA ROHO NAMISS CALL ZAKO
KILA LEGACY YAKO IPO VYEMA WALA HATUJAGOMBANIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUWA WAMOJA NA KUKUENZI DAIMA
ATLEAST MIMI NA NDUGU ZANGU TULIKUA NA BABA... BABA AMBAE NIKIJARIBU KUWA BABA BORA KULIKO YEYE VIATU VINAPWAYA PUMZIKA MZEE WANGU
Kwa kuwa wewe ni Barcelona inabidi nikupinge tu hakuna namna..Aah wapi hiyo itakua tamaa tu sio njaa
Vimegawiwa kwa watoto wake na vitu vyoteee vipo chini ya mama mijengoHamkutakiwa kugawana mlitakiwa mchague mmoja aendeleze pepo lakugawana mali ndio linaimaliza ngoz nyeusi hizi umewaisikia akina asas ama dewj wanagawana mali
Mtu yeyote msomi / familia ya wasomi haya mambo kugombea Mali za mzee utasikia kwa familia za mafukara wa AKILI (maskini wa akili) hakuna UMASKINI mbaya kama UMASKINI wa MAARIFA
NB. SISI MZEE ALITUPA ELIMU TENA AKASEMA HATA TUSIPO MSAIDIA KWA CHOCHOTE ATLEAST TUWEZE KUJIMUDU KABLA HAJAFA ALIHAKIKISHA MALI KAZIGAWA KWA ALIO WAPENDA FULL STOP
KILA SIKU HUWA NAZUNGUMZA NA WEWE KWENYE ULIMWENGU WA ROHO NAMISS CALL ZAKO
KILA LEGACY YAKO IPO VYEMA WALA HATUJAGOMBANIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUWA WAMOJA NA KUKUENZI DAIMA
ATLEAST MIMI NA NDUGU ZANGU TULIKUA NA BABA... BABA AMBAE NIKIJARIBU KUWA BABA BORA KULIKO YEYE VIATU VINAPWAYA PUMZIKA MZEE WANGU
Hapa una mzungumzia baba Yako au baba yanguUnazungumzia mali au nyumba za kijijini na mshamba
Hapo watu hawapambanii mali hizi wanazoacha wazee wetu nyumba za uswahilini na mshamba ya miti
Wanasiasa wengi wakubwa unakuta ana nyumba kadhaa masaki Sasa unafikiri ni sawa na baba yako ambaye nyumba zake hata mkiuza hampati mil 500
unahisi baharesa au mo wanahaja ya kuandika wosia wa Urusi kwenye mali zao?Hujajibu swali nimekuuliza wewe mali zako utawapa watu wengine sababu watoto wako wanaweza kujitegemea
Kwa hiyo bakharesa awape utajiri watu wengine sababu watoto wake wanaweza kujitegemea
Wewe umesema watoto hawatakiwi kirithi mali yako yeyote hata nguo zako kwa sababu tu wanaweza kujitegemeaunahisi baharesa au mo wanahaja ya kuandika wosia wa Urusi kwenye mali zao?
huko washavuka hata kabla hawajafa washaweka mifumo ya kuongoza mali zao
Nyie vijana mliosomeshwa vizuri sana tafadhalini ondoeni hii aibu mitandaoni,tafadhali sana sana mmeshindwa kukaa mkawekana sawa? Wana ndugu wa damu moja?Watoto watatu wa aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Cleopa Msuya, wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa mirathi ya baba yao, huku Mahakama Kuu ikifungua njia ya kusikilizwa kwa maombi ya kulinda mali za marehemu.
Katika uamuzi uliotolewa Oktoba 13, 2026, Jaji Sara Mwaipopo wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Temeke, alitupilia mbali mapingamizi matano kati ya sita yaliyowasilishwa na John Msuya na Naanjela Msuya dhidi ya maombi ya Job Msuya, aliyekuwa akiomba amri za muda za kuhifadhi mali za mirathi.
Job, kupitia Wakili Albert Lema, aliiomba mahakama kuingilia kati akidai wasimamizi wenzake walikuwa wakifanya maamuzi kuhusu mali za marehemu bila ridhaa ya pamoja. Pia alieleza wasiwasi kuhusu nyumba iliyopo Upanga, akidai ilikuwa katika hatari ya kuuzwa kwa bei ya chini au kukodishwa kwa masharti yasiyozingatia masilahi ya mirathi.
Wasimamizi hao waliwasilisha mapingamizi sita wakidai maombi hayo hayakuwa na msingi wa kisheria, yalikuwa yamewasilishwa mapema kabla ya kukamilika kwa orodha ya mali, na kwamba kulikuwa na shauri jingine lenye hoja zinazofanana. Pia walipinga hati ya kiapo ya Job na kudai maombi yalikuwa yamepitwa na muda wa kisheria.
Hata hivyo, Jaji Mwaipopo alieleza kuwa mahakama ina mamlaka ya kutoa amri za kuhifadhi na kulinda mali za mirathi hata kabla ya kuwasilishwa kwa orodha ya mali, hasa pale kunapokuwa na wasiwasi kuhusu uwezekano wa mali kuuzwa au kuharibiwa. Pia alibaini shauri jingine lililotajwa na wajibu maombi lilikuwa tayari limefutwa.
Jaji alikubali kwa sehemu pingamizi kuhusu hati ya kiapo, akiamuru aya za 7, 20, 21, 23, 24, 25 na 26 zifutwe kwa kuwa zilikuwa na kauli za imani, maoni na hoja za kisheria ambazo hazikupaswa kuwasilishwa kwa namna hiyo. Hata hivyo, alikataa ombi la kutupilia mbali hati nzima, akisema kasoro katika baadhi ya aya hazibatilishi hati yote.
nimesema wapi hawatakiwi kurithi?Wewe umesema watoto hawatakiwi kirithi mali yako yeyote hata nguo zako kwa sababu tu wanaweza kujitegemea
Wewe unapinga mtoto kuachiwa mali na mzazi wake
Mpanju (Daktari) ninayemfahamu na mwenye credentials zilizoelezwa nilimfahamu akiwa hajaolewa, na akiitwa Mpanju na akisoma Muhimbili!Mzee baba hiyo Mpanju hapo mbona iko straight kuwa huyu ni Mrs Mpanju...
Sasa huyo mwenye akili unazosema za Utajiri ndio anatakiwa apiganishe awape pesa yao wale wenye Akili za kimasikini ili huyo mwenye Akili za kitajiri abaki nazo hizo mali akiwa peke yake au na wale watakao kuwa wamekubali kuwa naye huyo Tajiri wa Akili 😳 !Issue ni kwamba watoto hawafanani unaweza ukawa na watoto 10 mwenye akili ya utajiri ni mmoja tu wengine wote wana akili za kimasikini tu sasa hao wenye akili za kimasikini ndio wanaoleta usumbufu mara anataka auze nyumba mara anataka auze mifugo mara anataka auze viwanja yeye ni kuuza tu sio kuendeleza, sasa hawa wenye akili za hivi ndio wanaowasumbua wenzao kwenye familia baada ya msiba kutokea ooh tuuze nyumba kila mtu apate chake ooh tuuze shamba kila mtu apate chake
Mfano;
Kuna wana familia waliachiwa Shamba kubwa na Mzee wao basi lile shamba wakawa wanalima kwa kupokezana mwaka huu analima huyu mwaka unaofuata analima mwingine hivyo hivyo, sasa kuna wengine wakawa hawanufahiki ambao wana akili za kimasikini sababu walikua wanapata mazao kidogo wakati wenzao wakilima wanapata mazao mengi na shamba linawanufaisha sana wanapata maendeleo ukatokea mgogoro na mvurugano ikaibuka ile kauli ya basi tukose wote tuliuze lile shamba wakakatiana vipande wakaliuza, sasa hivi wote wamebakia mikono mitupu kabisa hela haipo wameshakula na shamba halipo tena wameshaliuza
Inasikitisha sanaNyie vijana mliosomeshwa vizuri sana tafadhalini ondoeni hii aibu mitandaoni,tafadhali sana sana mmeshindwa kukaa mkawekana sawa? Wana ndugu wa damu moja?
SHAME🛑
SHAME🛑
SHAME🛑
Mara nyingi ujinga huu huchochewa na upande wa dada waliooolewa na wanaume masikini hawa mara nyingi ndiyo chanzo cha kila kitu,aidha kama ni mtoto wa mzee wa kiume kuoa mke kenge mwenye liroho la ulafi.
WASOMI WAJINGA SANA HAWA
Kusoma nini?Kwa wapare halikosekani hili jambo kuna mmoja pale hajasoma itakua ndo kavurua wenzake😂
Watu weusi sisi ni wabinafsi sana hilo ndilo tatizo....hivi unatumia kipimo gani kujua mtu ameelimika?Kama wameelimika, ni kitu gani kinacho wanyima mshikamano wa kutokusikilizana ili kufanya maamuzi ya busara ndani ya familia?
Hii kutoka nje kwenda mahakamani, ni kuonyesha dunia hakuna masikilizano.