Watoto wa Cleopa Msuya watinga mahakamani kugombea mali

Unaupeo mdogo sana
Kuna watu ni matajiri na bado wanawadhulumu maskini au wenye kipato kidogo

Tena hakuna watu wenye njaa au kiu ya fedha kama matajiri
 
Jambo ni kuna mvutano wa matumizi ya mali , full stop. Always human change when he or she have power and greedy
 
Kuna mtoto mmoja hujamtaja, na najua kwa nini hujamtaja, na mimi pia simtaji kwa sababu hizo hizo za wewe kutomtaja, ila najua unajua yupo na tunajua yupo!.
P
 
Yule aliyewahi kuwa Mbunge na naibu waziri wa kilimo kama sijakosea, wa Kuitwa Mathayo?..si nasikia mzee aliweka kambani huko pembeni?.
 
Hivi mtu hadi unakua Makamu wa Rais, Waziri Mkuu , hujajua tu namna ya kugawa urithi .
Ina maana mzee hata matoto hayajasoma au ni yale nje tunayoyasikia, tujifunze nini sasa kwa viongozi wetu.
 
Hii inasikitisha sana.
 
Maadam wamefikishana mahakamani maana yake ipo sintofahamu katika familia japo Unasema wote wanajimudu kimaisha 🙄 !
 
Ukishaenda mahamamani maana yake na ufahamu wao wote jambo limewashinda
 
HAYA YOTE NI MATOJEO YA SHERIA MBOVU NA ZA KIANITHI NA WANASHERIA NA MAHAKIMU NA MAJAJI WAPUMBAVU NA CCM NA BUNGE LA KIANITHI .... KOSA KUBWA SANA KUSEMA WOSIA UNATAKIWA KUWA SIRI ...SHERIA ILITAKIWA KUWA WAZI KUWA WOSIA NI LAZIMA UWE WAZI KWA WAUSIKA WOTE..SIYO MUACHA WOSIA AKIFA NDIYO UNASOMWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…