Watoto wa English medium wanachezea lugha ya malkia wakati mimi ndo naihitaji huku kazini

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Daahh haya mambo bwana kuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili mnaanza kutafuta visingizio vya kuwakwepa au mnamsakizia mwenzenu mmoja mwenye unafuu akamalizane nao huko, mambo yasiwe mengi.

Kumbe wamba mpo kimya mmejifungia ndani kama hampo vile kuna mnawazoom tu nyuma ya vioo.👀

Kuna wakati nashangaa sana humu wanaotetea kuwapeleka watoto hizi shule za kayumba maana huu ndo mwisho wake anakuja mgeni inakuwa patashika bin tafrani. sasa ukiwa bosi hlf haujimudu ndo balaa zaidi maana wewe hauwezi kujificha lazma utoke huko ndani ukapambane na equals wako, hapo chacha😳lugha gongana.
 
Acha kulalamika kasome course ya kingereza utakuwa vizuri.
 
Utumwa tu huo, Tafuta mkalimani ndiyo.kazi.zao hizo.mbona hao.wageni wao.hawajui kiswahili.na huoni kama ni.shida nao wanashida.pia..Yaani wewe unaona hatia kutokujua kingereza ila wageni kutokujua kiswahili siyo tatizo.
 
halaf kuna subordinates hawana adabu kabisa wakati wewe unapambana kupangua hoja za jamaa kumbe wenzio wamejibanza sehemu wanafatilia unavyojikanyagakanyaga kwenye mazungumzo.

sasa wageni wakiondoka tu jamaa hawa hapa,,,apo ndo utapowajua machawa. wengine utaskia "bosiiiii umeuwa bosiiiii ", mara wengine utaskia "bosi unang'ata ung'eng'e kama saivi ndo umedondoka toka landani"😆

pambaff kabisa.
 
hii kitu n shida kuna miamba wapo culture boma za ngorongoro hawaja kanyaga hata shule wanatema madini utafikiri walizaliwa UK(experience&desire),ila tuache utani lugha ya malkia ni muhimu sana.
 
Daahh haya mambo bwana kuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili mnaanza kutafuta visingizio vya kuwakwepa au mnamsakizia mwenzenu mmoja mwenye unafuu akamalizane nao huko, mambo yasiwe mengi.

Kumbe wamba mpo kimya mmejifungia ndani kama hampo vile kuna mnawazoom tu nyuma ya vioo.👀

Kuna wakati nashangaa sana humu wanaotetea kuwapeleka watoto hizi shule za kayumba maana huu ndo mwisho wake anakuja mgeni inakuwa patashika bin tafrani. sasa ukiwa bosi hlf haujimudu ndo balaa zaidi maana wewe hauwezi kujificha lazma utoke huko ndani ukapambane na equals wako, hapo chacha😳lugha gongana.
Wape Dictations, yaani uwe unawasomea wanaandika, hutamiini macho yako,
 
Screenshot_20250110-064655_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom