BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Vitoto vya Kichina vidogo kabisa viko vina fanya practical viwandani, liona video kule Japani, vitoto vidogo viko kwenye kiwanda cha Magari cha Toyota vijanajifunza, Huku tuna komaa na Lugha, hakuna nchi imepiga hatua za kiuchumi kupitia Lugha na huu ujinga sijui nani anawaaminisha.