Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Acha kulalamika kasome course ya kingereza utakuwa vizuri.Daahh haya mambo bwana kuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili mnaanza kutafuta visingizio vya kuwakwepa au mnamsakizia mwenzenu mmoja mwenye unafuu akamalizane nao huko, mambo yasiwe mengi.
Kumbe wamba mpo kimya mmejifungia ndani kama hampo vile kuna mnawazoom tu nyuma ya vioo.👀
Kuna wakati nashangaa sana humu wanaotetea kuwapeleka watoto hizi shule za kayumba maana huu ndo mwisho wake anakuja mgeni inakuwa patashika bin tafrani. sasa ukiwa bosi hlf haujimudu ndo balaa zaidi maana wewe hauwezi kujificha lazma utoke huko ndani ukapambane na equals wako, hapo chacha😳lugha gongana.
Kuna mtu aliwahi kusema hiyo lugha ndiyo Kiswahili cha Duniakuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili
Utumwa tu huo, Tafuta mkalimani ndiyo.kazi.zao hizo.mbona hao.wageni wao.hawajui kiswahili.na huoni kama ni.shida nao wanashida.pia..Yaani wewe unaona hatia kutokujua kingereza ila wageni kutokujua kiswahili siyo tatizo.Daahh haya mambo bwana kuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili mnaanza kutafuta visingizio vya kuwakwepa au mnamsakizia mwenzenu mmoja mwenye unafuu akamalizane nao huko, mambo yasiwe mengi.
Kumbe wamba mpo kimya mmejifungia ndani kama hampo vile kuna mnawazoom tu nyuma ya vioo.👀
Kuna wakati nashangaa sana humu wanaotetea kuwapeleka watoto hizi shule za kayumba maana huu ndo mwisho wake anakuja mgeni inakuwa patashika bin tafrani. sasa ukiwa bosi hlf haujimudu ndo balaa zaidi maana wewe hauwezi kujificha lazma utoke huko ndani ukapambane na equals wako, hapo chacha😳lugha gongana.
tatizo muda kiongoziAcha kulalamika kasome course ya kingereza utakuwa vizuri.
🤦Ras simba
rasi simba ndio suluhishoAcha kulalamika kasome course ya kingereza utakuwa vizuri.
kiongozi una maneno ya kikatiri sanarasi simba ndio suluhisho
sana aiseeEnglish medium zinasaidia sana
Wape Dictations, yaani uwe unawasomea wanaandika, hutamiini macho yako,Daahh haya mambo bwana kuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili mnaanza kutafuta visingizio vya kuwakwepa au mnamsakizia mwenzenu mmoja mwenye unafuu akamalizane nao huko, mambo yasiwe mengi.
Kumbe wamba mpo kimya mmejifungia ndani kama hampo vile kuna mnawazoom tu nyuma ya vioo.👀
Kuna wakati nashangaa sana humu wanaotetea kuwapeleka watoto hizi shule za kayumba maana huu ndo mwisho wake anakuja mgeni inakuwa patashika bin tafrani. sasa ukiwa bosi hlf haujimudu ndo balaa zaidi maana wewe hauwezi kujificha lazma utoke huko ndani ukapambane na equals wako, hapo chacha😳lugha gongana.
Arusha kuna vijana wanaongea kile cha Marekani na hawana pesa mfukoni, Kenya ndio Lugha yao still kuna umasikini mkubwa sana ,kote huko Zambia, Malawi na kadhalika, sasa nyie jipeni matumaini.English medium zinasaidia sana