Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mpuuzi huyo!Aliona raha kunengua kwa house girl halafu hataki kutunza matokeo ya minenguo yake?Such a fool!Yule aliyezaa na house girl na akagoma kutoa ya matumizi vipi anahesabika nae?
Yule nae lazima ameingia polisi ili kelele ziishe apambane na maisha yake...Yule aliyezaa na house girl na akagoma kutoa ya matumizi vipi anahesabika nae?
Sasa wakiajiriwa huko ndio wawe na haki ya kubambikia kesi, kutesa na kuua watu?Nazani ipo ruhusa kwa watoto wa polisi yeyote yule ambae amelitumikia au analitumikia jeshi kwa vizuri,basi watoto wake wanayo nafasi kubwa ya kuajiriwa bila ya pingamizi,mtoto mwenyewe tu ndie anaeamua kama anataka kufanya na kuajiriwa basi fursa ipo wazi.
haya majungu sasa.
Mahita ana jumla ya watoto 17Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa , Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI , au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA , hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu .
Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo .
Natanguliza Shukrani .
NdioYule aliyezaa na house girl na akagoma kutoa ya matumizi vipi anahesabika nae?
Hakuna ruhusa hiyoNazani ipo ruhusa kwa watoto wa polisi yeyote yule ambae amelitumikia au analitumikia jeshi kwa vizuri,basi watoto wake wanayo nafasi kubwa ya kuajiriwa bila ya pingamizi,mtoto mwenyewe tu ndie anaeamua kama anataka kufanya na kuajiriwa basi fursa ipo wazi.
AiseeeeMahita ana jumla ya watoto 17
Nje ya ndoa wapo 13
Nawajua ni maaskari ni watatu huyo Mahita Omary Mahita Inspector na ni Tiss pia
Abdul Omary Mahita marehemu
Fatuma Mahita ni daktari
Nyongeza
Sirro nae ana mtoto yupo polisi cheo cha Inspector alikua Ofisi ya mwanasheria mkuu muda huu kahamishiwa bandari
Mabeyo nae ana mtoto ni mjeshi pia cheo cha kanali
So utaona watoto wao wanavyopandishwa haraka haraka
Mahita ana jumla ya watoto 17

Mabeyo ana mtoto kanali kweli?Mahita ana jumla ya watoto 17
Nje ya ndoa wapo 13
Nawajua ni maaskari ni watatu huyo Mahita Omary Mahita Inspector na ni Tiss pia
Abdul Omary Mahita marehemu
Fatuma Mahita ni daktari
Nyongeza
Sirro nae ana mtoto yupo polisi cheo cha Inspector alikua Ofisi ya mwanasheria mkuu muda huu kahamishiwa bandari
Mabeyo nae ana mtoto ni mjeshi pia cheo cha kanali
So utaona watoto wao wanavyopandishwa haraka haraka
labda kama hawana sifa,utakuwa na hoja.Mahita ana jumla ya watoto 17
Nje ya ndoa wapo 13
Nawajua ni maaskari ni watatu huyo Mahita Omary Mahita Inspector na ni Tiss pia
Abdul Omary Mahita marehemu
Fatuma Mahita ni daktari
Nyongeza
Sirro nae ana mtoto yupo polisi cheo cha Inspector alikua Ofisi ya mwanasheria mkuu muda huu kahamishiwa bandari
Mabeyo nae ana mtoto ni mjeshi pia cheo cha kanali
So utaona watoto wao wanavyopandishwa haraka haraka
Wewe ndo yule alizaa na house girl? Umekuwa mkali....🤣Kwani hao watoto hawapaswi kufata ndoto zao kupitia baba zao Mzee mlaumu mama ako kwa kukuchagulia baba jinga jinga ona sasa unaonea wivu baba wa wenzako
Bush mwanaye alikuwa rais huko USA
Kim Jong un babu yake alikuwa mtawala
Kabila mwanaye akawa rais
Karume mwanae akawa rais
Mwinyi mwanae akawa rais hiyo ni mifano michache jinsi mama wa wenzako walivyo chagua wababa wapiganaji kwa familia zao
Wewe ndo madhara ya mama kuchagua baba uliye naye sasa busy 'JF kuangaika na watoto wa kina mahita
Mbowe mwenyewe chadema kapewa sebleni na baba mkwe wake mzee Mtei
Ushaur bro anza kuandaa maisha ya watoto wako usiwe kama baba ako kashindwa kukuandalia