MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Kweli Mkuu ni vema tukawajua maana inaelekea wana tabia na sura kama ya Baba yao..Hili ni swali muhimu linalopaswa kujibiwa , Inafahamika kwamba miongoni mwa watoto hao wa Mahita yumo Mahita Omari ambaye sasa imefahamika kwamba amewekwa kwenye kundi la WATESAJI , au kwa jina la kisasa ni WATU WASIOJULIKANA , hatuna shida naye maana tayari ameanikwa hadharani na Mungu .
Swali ni hili , ni watoto wangapi wa Mahita mwenyewe ama viongozi wengine wa jeshi la polisi waliopewa ajira Polisi na yalivyo majukumu yao ? hatuna shida na njia walizotumia kupata ajira hiyo .
Natanguliza Shukrani .
Namjua binti yake yupo US anafanya uchangudoa anaitwa Hidaya.