Watoto wa IGP Mstaafu Omari Mahita walioajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania wako wangapi?

Piga talantalila Ila Kuna watu wanataka pia kujua location na asset za mahita kwa matumizi ya baadae.
yule dingi alikua anachukua cash,sidhani kama ana fixed assets,hata maisha yake ya kawaida ila pesa anayo
 
Mkuu,amini usiamini polisi kuna pesa kuliko hata TRA, usifuate maneno ya wana JF humu,polisi ukiwa na cheo unapiga pesa mwezi hukosi 5m
hao wazee sio wajinga kupeleka vijana wao huko
Acha kudanganya wenzio, hii bongo kila mtu anatamani kufanya kazi Bot,Tra ila tatizo ni ufinyu wa Nafasi,
Nakupa kazi linganisha Mpunga wa Kamishna wa Forodha na Ushuru wa bidhaa wa TRA na Makamishna wa Police wapi Kuna Pesa
 
Tujitahid kuongea vitu tuna ushaidi navyo , maana stori yangu nmeshindwa kuimeza mpk ss , kwamb ulikwepo kweny chumba cha matesa kuona komando alivyopotezwa?
 
Acha kudanganya wenzio, hii bongo kila mtu anatamani kufanya kazi Bot,Tra ila tatizo ni ufinyu wa Nafasi,
Nakupa kazi linganisha Mpunga wa Kamishna wa Forodha na Ushuru wa bidhaa wa TRA na Makamishna wa Police wapi Kuna Pesa
bado hujamwelewa huyo jamaa , insh siyo mshahara ila inshu ni michongo ya polisi ni mingi na inalipa vzr, TARGETS
 
bado hujamwelewa huyo jamaa , insh siyo mshahara ila inshu ni michongo ya polisi ni mingi na inalipa vzr, TARGETS
Inaonekana hujasoma Ile Ripoti ya Warioba ya _The state and Corruption nenda kasome kidogo ndiyo utanielewa kwa Nini nimekuwa specifically Kwamba Forodha Wana Pesa kuliko kitengo chochote ndani ya Tanzania hii,
-Hao TRA -Forodha wanalipwa Pesa ndefu na wana Michongo,
- Forodha ndiyo kitengo kinachoongoza kwa Mapato ndani ya TRA unless kuwe na mabadiliko.
 
Uchawi
 
Upo sahihi mkuu
 
Acha kudanganya wenzio, hii bongo kila mtu anatamani kufanya kazi Bot,Tra ila tatizo ni ufinyu wa Nafasi,
Nakupa kazi linganisha Mpunga wa Kamishna wa Forodha na Ushuru wa bidhaa wa TRA na Makamishna wa Police wapi Kuna Pesa
Kibongo bongo TRA,PORT wapo vizuri ila polisi huwa wanapiga hela sana wakienda UN kwahiyo polisi nayo si kazi yenye njaa sana kama watu wengi wanavyotuaminisha.
 
Mwamunyange je nae ana mtoto mjeshi?
 
..mtoto wa mwalimu atakuwa mwalimu...wa dakitari naye atasomea udakitari...wa seremala naye atakuwa seremala...wa mwanajeshi naye atakuwa mjeshi .... je pana uhalisia?
Sio lazima iwe hivyo. Tutamkatisha tamaa mtoto wa mwijaku.
 
Duh jamaa!!!?
 
Usipende kufuatilia ya Watu angalia mambo yako
 
Forodha kwa kingereza ni nini?
 
Ofcoz kubebwa kupo sema wamejitahidi kubebeka yaan wanasifa stahiki hata kama inawezekana hawakushindana na wenye sifa wenzao
 
Acha kudanganya wenzio, hii bongo kila mtu anatamani kufanya kazi Bot,Tra ila tatizo ni ufinyu wa Nafasi,
Nakupa kazi linganisha Mpunga wa Kamishna wa Forodha na Ushuru wa bidhaa wa TRA na Makamishna wa Police wapi Kuna Pesa
Boss,mimi nafahamu ninachoongea,siwezi kulinganisha na watu wa forodha kwa sababu sipo huko, sio kweli ulichosema kila mtu anatamani kufanya kazi BOT na TRA,ingekuwa hivo basi hawa jamaa waliotajwa humu wote wana elimu wangeshapelekwa huko na wazazi wao
hoja yangu ulikuwa kwamba police ukiwa na cheo unapiga pesa kuliko watu wengi wanavoamini humu JF kwamba ni kazi duni,watu wana ma ghorofa na magari mengi kwa kazi hiyo tunayoidharau humu,japo ni wapiga ma deal
 
Kibongo bongo TRA,PORT wapo vizuri ila polisi huwa wanapiga hela sana wakienda UN kwahiyo polisi nayo si kazi yenye njaa sana kama watu wengi wanavyotuaminisha.
hawa jamaa wanabisha tu kwakua wanaonaga wale polisi wa vyeo vya chini wana njaa, traffic wana pesa sana na majumba makubwa wao wanapata saa nyingine mshahara wao wote ndani ya nusu saa tu kwa ma deal wale,unapiga laki 9 mchana,asubuhi ulipiga laki,bado kesho tena
 
-Hayo magari na magorofa si kitu cha kawaida Sana kwa Maafisa wa BoT, TRA Tena maafisa wa kawaida tu
- Forodha ndiyo miongoni mwa engine ya uchumi wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…