Watoto wa kike sie raha yetu pesa bwana ufundi pelekeni VETA

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Mhhhh asikwambie mtu,sie watoto wa kike tunapenda mwanaume mwenye pesa bwana....hata akiwa wa mkoa,tutavumiliana[emoji108] Upoo
We nyanyua vyuma ukawe mlinzi babu ee[emoji108] ,Skuizi hatuvutiwi na chest hizo, skuizi tunaangalia mfuko, hata unuke mdomo na kikwapa kama wanaume wa mkoa tutavumiliana babu eeeeee[emoji108] ,ili mradi pesa iwepo
Yani utakuta mwanaume hela hana, basi tuje sita kwa sita.....eeeh napo majanga
Lakini ukiwa na pesa lazima tuvumiliane babu eeeee[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Kupost picha ya mtu hivi ni hatari sana.... waweza shitakiwa we mpenda pesa.... kama huna concert yake nakushauri uitoe maana huyu jamaa ka namjua vile...
 
ulifurahi nilipo kupa gariii na ile nyumba ya kifaharii,kuna nyingine moja speacialll,,,nimeshakupa HIV( in Albart magwea voice)
 
Pesa tunawapa watoto wa like wazuri...na wasafi...sasa km ww n mbovu utaishia kupewa vocha na kugegedwa... Ucdhan kila demu anapewa pesa...
 
Sio watoto wa kike wote, ni wewe ndio mwenye mtazamo huo, na inaelekea hujawah kuwa na bwana mwenye pesa ndio maana unalopoka. Nakushauli kawaulize walio fuata pesa kwa wanaume yaliwakuta yapi? Sio unatomboka tomboka tu.
 
Hata nikikupa pesa unaweza kutiwa na muuza Maji kama Mapenz Pesa matajir wasingegongewa
 
Njoo mererani nikupe pesa za madini mtoto mzuri kama wew wastahili kuwa namim kibopa wa R-chuga
 
ulifurahi nilipo kupa gariii na ile nyumba ya kifaharii,kuna nyingine moja speacialll,,,nimeshakupa HIV( in Albart magwea voice)
Ukimwi hata masikini wanao, hivyo haututishi cha muhimu ela ya balance diet iwepo
 
mbona baba ako hana hela na wanaishi vizuri tu na mama.ako? acha ujinga weweee
 
Acheni kumshambulia mwenzenu, ni maono na malengo yake ya maisha, mbona nyie mnatoa vigezo vyenu vya ki Malaika hamtukanwi? Ukweli ni kuwa PESA inashika wadada wengi sana kama sio wote, hadi wake za watu kama mkeo unampa pesa za mboga tu akipata wa kumpa pesa za matumizi ataku cheat tu hakuna namna, PESA ni sabuni ya roho si kwa wanawake tu Sikh hizi hata kwa wanaume "Marioo" mjini wanaongezeka kila uchwao nani asiyeijua Couple iliyowahi Ku bamba ya Jafarai v/s Mbunge wa Afrika Mashariki !? Ni pesa tu pesa pesa pesa inaondoa uchafu na ubaya wa mtu woote alionao
 
Aisee jamii forum kuna vituko wewe ni me au ke??
Kuna thread yako humu ina eleza kumtoa usichana BINAMU YAKO au we mwenzetu SHEMALE????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…