zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
kuhudumiwa utaudumiwa kwa mume wako.sio kutoa toa papuchi kwa tamaa ya ela kila mwanaume.utakuta binti mdogo lakini muonekano kama ana miaka hamsini .kujizeesha na dushulee za kila namnaMwanamke ameumbiwa kupewa na kupokea (tunapewa sperm tunapewa mimba n.k) lakini hamsemi hivi kama ni kitonga only pesa why?
Mtoa post hajasema kama atatoa kwa kila mwanaume labda kama sijamuelewa vzr, ila ndo mtafute pesa maana pesa inaheshima yake hata kwenye ndoakuhudumiwa utaudumiwa kwa mume wako.sio kutoa toa papuchi kwa tamaa ya ela kila mwanaume.utakuta binti mdogo lakini muonekano kama ana miaka hamsini .kujizeesha na dushulee za kila namna
mwanume pesaMiss Chagga atatujibu
unakutana na neema huko .. pesa tamu bwanaSio watoto wa kike wote, ni wewe ndio mwenye mtazamo huo, na inaelekea hujawah kuwa na bwana mwenye pesa ndio maana unalopoka. Nakushauli kawaulize walio fuata pesa kwa wanaume yaliwakuta yapi? Sio unatomboka tomboka tu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]mwanume pesa
Acheni kumshambulia mwenzenu, ni maono na malengo yake ya maisha, mbona nyie mnatoa vigezo vyenu vya ki Malaika hamtukanwi? Ukweli ni kuwa PESA inashika wadada wengi sana kama sio wote, hadi wake za watu kama mkeo unampa pesa za mboga tu akipata wa kumpa pesa za matumizi ataku cheat tu hakuna namna, PESA ni sabuni ya roho si kwa wanawake tu Sikh hizi hata kwa wanaume "Marioo" mjini wanaongezeka kila uchwao nani asiyeijua Couple iliyowahi Ku bamba ya Jafarai v/s Mbunge wa Afrika Mashariki !? Ni pesa tu pesa pesa pesa inaondoa uchafu na ubaya wa mtu woote alionao
Ukiona mwanaume ana pesa alafu kukupa ni mpaka mvutane wee ujue Huyo ni mchoyoMhmh.! kuwa Pesa pekee haitoshi, Pesa umpate mhudumiaji anayekupenda na kukujali Sio Pesa hadi mvutane vutane weeeeee ndio itokee tena anaitoa kwa shingo upande
Ukiona mwanaume ana pesa alafu kukupa ni mpaka mvutane wee ujue Huyo ni mchoyo