Watoto wa kike wapo wengi kuliko wa kiume

Watoto wa kike wapo wengi kuliko wa kiume

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Unajua nimenotice from a personal perspective kutoka marafiki, ndugu hata watu wengine kwamba wanapata watoto wa kike sana kwa rate kubwa kuliko wa kiume yaani kama 60 to 70% ratio compare to boys.

Na pia Tanzania kama unavyoona kwa map hapo rangi ya bluu ni moja ya nchi yenye wanawake wengi kuliko wanaume which is kama the global rate 52% to 48% but naona Tanzania kama inaelekea kwa 60% kuna mtu naye kanotice hii kitu?

IMG_6465.png

Halafu baadhi ya hao wa kiume wanakuwa wa kike tena, tuwaombee.
 
Hii Dunia Kila kitu kipo Balanced Ndugu Haitokuja kutokea na Haikuwahi kutokea Wanawake wakaw wengi kuliko wanaume And Vice versa, Hiyo Fact ipo hadi kwa Wanyama

Ningeweka hadi na Reference ila Nlisomaga Utafiti mmoja Kitambo Sana nimesahau Jina Lake Ilielezea hilo suala kwa upana sana Kiufupi tu Idadi ya Wanawake na Wanaume ni Sawa,

Hat ukiaangalia Idadi ya Sensa tu itakupa Majibu kidogo kwamba zile data japokuw sio Kamilifu kwa asilimia Mia moja ila Zinaelekea kwenye Ukweli kwamb Idadi ya Wanawake na wanaume ni Sawa World wide.
 
Wanawake ni wengi hata kwenye wanyama wafugwao majike ni mengi kuliko madume(kuku, mbuzi, ngombe)
Kwa kifupi kwa upande wa binadam tunakosea kuwa na mke 1 wao ni wengi ikitokea kila mwanaume akao basi tambua jinsia ya kike watabaki wengi tu wasio na wanaume

Rejea takwimu za watoto wanaozaliwa iwe hospitals vituo vya afya na shuleni pia secondary primary vyuo
Hilo halihitaji mjadala

Cha ajabu kuna wa kiume wanaleft 🫢ngachoka!
 
Suala la kuoa ni la mtu binafsi unaweza kuoa wake hata sita hakuna wakukuzuia
Maana kuna wanaume wengine hawapend kuoa hawalazimishwi ni maisha aliyo chagua

Hata wewe unaweza kuona hawa wadada wanateseka ngoja niwaoe ni maamuz yako tuu
 
Back
Top Bottom