Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Suala la kuoa ni la mtu binafsi unaweza kuoa wake hata sita hakuna wakukuzuiaWanawake ni wengi hata kwenye wanyama wafugwao majike ni mengi kuliko madume(kuku, mbuzi, ngombe)
Kwa kifupi kwa upande wa binadam tunakosea kuwa na mke 1 wao ni wengi ikitokea kila mwanaume akao basi tambua jinsia ya kike watabaki wengi tu wasio na wanaume
Rejea takwimu za watoto wanaozaliwa iwe hospitals vituo vya afya na shuleni pia secondary primary vyuo
Hilo halihitaji mjadala
Cha ajabu kuna wa kiume wanaleft š«¢ngachoka!