Watoto wa kishua hamuwezi kuielewa hii picha

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,754
Reaction score
8,750
Yani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.

Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa ajili ya malez ya bara letu kwa watoto.

Namiss sana enzi hizi
 
Hapo pensi umeifungia kamba ya kiatu, mfukoni una goroli mbili, hapo mpira unauliga kwa Ndore/Dole gumba hadi kucha linangoka upaka mchanga habar kwisha.

Fainali ni kutoa njunja/Funza vidolenj
[emoji23][emoji23][emoji23] yani ilikua ni noma sana aisee....kucha zilikua zinapona within three days tu tena kwa mchanga......kwenye magoli mmejaza viatu na mabegi kibao
 
acha kabisaàa...nilikuw star wa huo mchezi...wakati huo kimitaa mitaa na vitongoji ambaye hakuwahi kukosa kunifahamu""""
 
Mi nilikuwa nikija na mpira wenyewe tukiita "sembo" lazima nicheze mwanzo mwisho, nikitolewa tu natambaa na mpira wangu mechi inaisha!
hahahahaaa we ulikua wakishua mwanangu na hapo lazma mpira unaozungumzia ni gozi,,,,, mana hii ya makaratasi ilikua haiitaji idadi ya wachezaji ndani....hata mkiwa 30 mnakipiga tu[emoji16]
 
Mi nilikuwa nikija na mpira wenyewe tukiita "sembo" lazima nicheze mwanzo mwisho, nikitolewa tu natambaa na mpira wangu mechi inaisha!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mnapanga mstari, kisha wababe wawili kila upande anaanza kuita kwa zamu mchezaji anayemtaka timu yake, baada ya hapo, sheria ya kwwnza, hamna kuvaa viatu.
kweli kabisa....yani wa viatu tulikua tunaogopa kuwakaba sasa sheria ni kuvua woote........!!! sasa hapo mi nilikua navua nabaki na zile soksi zangu za pundamilia
 
Dhaaaaaaaa aiseeee nakumbuka
Kwalamahondo primary school

Kucha zang zmeng'oka sana
Pale uwanjan
 
acha kabisaàa...nilikuw star wa huo mchezi...wakati huo kimitaa mitaa na vitongoji ambaye hakuwahi kukosa kunifahamu""""
mi nilikua naibia kinoma bs nimipiga goli wadau hulalamika tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…