Watoto wa kishua hamuwezi kuielewa hii picha

Nilipomaliza shule ya msingi na nikastaafu kucheza mpira hadi leo hii.

Nilicheza sana michezo ya mpira wa matambara ikiwemo ''One touch" mkiwa mnacheza wawili wawili.
 
Nilikua nikifika uwanjani kama wameanza kucheza mechi inasimama wananigombania,yani nikiamua kucheza timu moja ile nyingine inapewa wachezaji wawili kama compensation kufidia..
Kutoa kucha,ngozi za kwenye vidole,magotini,kawaida,shida wakati wa kuoga *****. Yani kuna siku tulicheza sijui kuanzia saa 4 adi saa 12 njaa haziumi .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani we jamaa umenikumbisha ujinga mmoja muhimu sana kukumbukwa kwenye huu mchezo......jamaa akiwa anajua sana bs timu pinzani inapewa wawili kwa mpigo kufidia....aiseeee
 
Nilipomaliza shule ya msingi na nikastaafu kucheza mpira hadi leo hii.

Nilicheza sana michezo ya mpira wa matambara iliwemo ''One touch" mkiwa mnacheza wawili wawili.
Daah uliacha mapema sana aisee.....hii kitu mi nimeachia form two yn....baada ya kupata kamchumba fln hv darasan.
 
Nikitoka hapo ni kwenda kucheza ile pusua (mnaweka peni af mnaanza kurusha vigae vya nyumba ) ukipata zite unasepa na peni naenda kumalizia na maganda ya viberiti( kumamgama ile) au stika, navo rud home ni moja kwa moja kuchimba viazi vitamu mashambani mwa wa watu asee nili enjoy sana hasa nkikutanaga na vichaa wenzangu
 
Ubonge wangu uliniponza nacheza kidogo nahamishiwa golini kudaka

Wanangu mpo wapi? Sele, athuman, Peter, Hamis, Omar,

Nakumbuka tuliwahi kubaka dem wa class tupo watatu ahahah
 
ni unforgetable moments kwa kweli......kipindi hcho akila hazina stress kabisa yn
 
Mie tatizo lilikua moja tu. Timu moja lazima mvue mashati ili kutofautisha na wapinzani. Sasa nilikua chikondee hatari. Wakifikia hapo lazima nifanye figisu nisivue shati.....

Baadae nikawa jiniaz, nnachelewa kidogo mpira uanze, nikifika naingia timu ya wenye mashati. Vidole gumba hadi leo vimeenda upande.
 
Ubonge wangu uliniponza nacheza kidogo nahamishiwa golini kudaka

Wanangu mpo wapi? Sele, athuman, Peter, Hamis, Omar,

Nakumbuka tuliwahi kubaka dem wa class tupo watatu ahahah
ohoooooo........sasa nyie mlikua ni watu wa tofauti kdgo aiseee.........[emoji2]
 
noma yan....hapo mtu hata chakula hukumbuki na njaa haiumi
.........na kumbuka nyumbani uliachiwa maagizo ukirudi shule baada ya kula ukachote maji na kukatie mifugo majani ya jioni na unajua kabisa kutoyafanya hayo utakutana na adhabu kali ila bado hili halikutoi kwenye mood.

Kuna siku niliambiwa nisimamie maharage jikoni yasiungue bimkubwa aliponipa mgongo tu na mie nikatoka kwenda kucheza,nakuja kukumbuka narudi mbio nipo umbali wa mtr50 nasikia harufu kali ya kitu kuungua mbio kuchungulia maharage yameungua yamefanana na karanga za kukaangwa.

Mara sauti ya bimkubwa nayo nje inasikika akija usawa wa lilipo jiko basi hapo nilitamani kama kuta za jiko zigawanyike nitoke nikimbie na hapo giza lishaingia.usiniulize kilichotokea ila nakumbuka nilijikuta asubuhi naamka kila sehemu pananiuma na njaa inauma hatari.those days hahah watu utoto tumeufaidi sana!
 
Daah uliacha mapema sana aisee.....hii kitu mi nimeachia form two yn....baada ya kupata kamchumba fln hv darasan.
Nilipoanza form one nikawa busy na masomo ila nilibaki kuwa mshabiki tu mpira, isitoshe nilikutana na wababe wa mpira jambo ambalo lilinifanya niachie nafasi watu waoneshe viwango vyao.

Jinsi muda ulivyozidi kwenda hadi kufika Advance nikaacha kushabikia kabisa mpira hadi sasa hivi, mpira sina time nao kabisa
 
.........na kumbuka nyumbani uliachiwa maagizo ukirudi shule baada ya kula ukachote maji na kukatie mifugo majani ya jioni na unajua kabisa kutoyafanya hayo utakutana na adhabu kali ila bado hili halikutoi kwenye mood.

Kuna siku niliambiwa nisimamie maharage jikoni yasiungue bimkubwa aliponipa mgongo tu na mie nikatoka kwenda kucheza,nakuja kukumbuka narudi mbio nipo umbali wa mtr50 nasikia harufu kali ya kitu kuungua mbio kuchungulia maharage yameungua yamefanana na karanga za kukaangwa.

Mara sauti ya bimkubwa nayo nje inasikika na hapo giza lishaingia.usiniulize kilichotokea ila nakumbuka nilijikuta asubuhi naamka kila sehemu pananiuma na njaa inauma hatari.those days hahah watu utoto tumeufaidi sana!
[emoji23][emoji23][emoji23] basi unapewa dozi huko nje wenzako waskilizia madirishani tu na kucheka taratibu
 
Me kuna siku nilifunga magoli 75!
Halafu kuna ile kitu inaitwa tobo, ukipigwa tobo aisee ilikuwa unakimbizwa, ukikamatwa unakula kisago...ponea yako ilikuwa unapaswa ukimbie hadi ushike kisiki au mti uliopangwa!
Nilikuwa nafunguaga dirisha la darasa wazi tobo likiingia tuu huyoo dirishaniii, ikafika kipindi tukaanza tobo dunda afu kumshika mwalimu mkali shule nzima sasa kuna ticha alikua anajiita K Kubwa au mwalim chuma yaan hahahaha ...

wakishua kaz yao kula mayai tuu na kusubiria skuli bus hswawez jua raha hzi...
 
aaah wanakosa mambo matamu sana aisee
 
.........na kumbuka nyumbani uliachiwa maagizo ukirudi shule baada ya kula ukachote maji na kukatie mifugo majani ya jioni na unajua kabisa kutoyafanya hayo utakutana na adhabu kali ila bado hili halikutoi kwenye mood.

Kuna siku niliambiwa nisimamie maharage jikoni yasiungue bimkubwa aliponipa mgongo tu na mie nikatoka kwenda kucheza,nakuja kukumbuka narudi mbio nipo umbali wa mtr50 nasikia harufu kali ya kitu kuungua mbio kuchungulia maharage yameungua yamefanana na karanga za kukaangwa.

Mara sauti ya bimkubwa nayo nje inasikika na hapo giza lishaingia.usiniulize kilichotokea ila nakumbuka nilijikuta asubuhi naamka kila sehemu pananiuma na njaa inauma hatari.those days hahah watu utoto tumeufaidi sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu umenichekesha sana, kwa hili la maagizo sidhani kama kuna yupo aliwahi kunusurika
 
[emoji23][emoji23][emoji23] basi unapewa dozi huko nje wenzako waskilizia madirishani tu na kucheka taratibu
Hapo wanacheka huku wakikuchongea zaidi huku wanasisitiza "Tulimwambia asicheze ila akang'ang'ania" basi hapo inakuwa kama wamemwaga petrol kwenye moto maana kichapo kinazidi zaidi.
 
hahahahahahaaaa sio siri ile life sku hz siioni kabisa kwa watoto wa sku hz yn
 
ni unforgetable moments kwa kweli......kipindi hcho akila hazina stress kabisa yn
Aaahahah asee hata jembe langu ndmna nimelipeleka shule za st kayumba nalo lije kusimulia watoto wake ase

Wale jamaa zangu cjui wapogo wapi skuhz asee tukikutana lazma tufany party ahahaha
 
"kipa na ndani" ushacheza weye?
Umeshacheza wan tachi au two tachi??
Hahahaaaaaa.
Kuna ile tulikuwa tunaita wani tachi, unapiga dana dana mpaka golini kwa mwenzio ili mradi mpira usiguse chini kisha ukifika karibu na goli la mpinzani unaachia shuti kabla mpira haujatua, ingawa ni tachi nyingi hapo kwa danadana ila sisi kama mpira haujagusa chini ni wan tachi hiyo.
 
haya maisha bahati mbaya sijawahi kuexperiece na nimesoma shule za sante kayumba
 
Back
Top Bottom