Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani we jamaa umenikumbisha ujinga mmoja muhimu sana kukumbukwa kwenye huu mchezo......jamaa akiwa anajua sana bs timu pinzani inapewa wawili kwa mpigo kufidia....aiseeeeNilikua nikifika uwanjani kama wameanza kucheza mechi inasimama wananigombania,yani nikiamua kucheza timu moja ile nyingine inapewa wachezaji wawili kama compensation kufidia..
Kutoa kucha,ngozi za kwenye vidole,magotini,kawaida,shida wakati wa kuoga *****. Yani kuna siku tulicheza sijui kuanzia saa 4 adi saa 12 njaa haziumi .
Daah uliacha mapema sana aisee.....hii kitu mi nimeachia form two yn....baada ya kupata kamchumba fln hv darasan.Nilipomaliza shule ya msingi na nikastaafu kucheza mpira hadi leo hii.
Nilicheza sana michezo ya mpira wa matambara iliwemo ''One touch" mkiwa mnacheza wawili wawili.
ni unforgetable moments kwa kweli......kipindi hcho akila hazina stress kabisa ynNikitoka hapo ni kwenda kucheza ile pusua (mnaweka peni af mnaanza kurusha vigae vya nyumba ) ukipata zite unasepa na peni naenda kumalizia na maganda ya viberiti( kumamgama ile) au stika, navo rud home ni moja kwa moja kuchimba viazi vitamu mashambani mwa wa watu asee nili enjoy sana hasa nkikutanaga na vichaa wenzangu
ohoooooo........sasa nyie mlikua ni watu wa tofauti kdgo aiseee.........[emoji2]Ubonge wangu uliniponza nacheza kidogo nahamishiwa golini kudaka
Wanangu mpo wapi? Sele, athuman, Peter, Hamis, Omar,
Nakumbuka tuliwahi kubaka dem wa class tupo watatu ahahah
.........na kumbuka nyumbani uliachiwa maagizo ukirudi shule baada ya kula ukachote maji na kukatie mifugo majani ya jioni na unajua kabisa kutoyafanya hayo utakutana na adhabu kali ila bado hili halikutoi kwenye mood.noma yan....hapo mtu hata chakula hukumbuki na njaa haiumi
Nilipoanza form one nikawa busy na masomo ila nilibaki kuwa mshabiki tu mpira, isitoshe nilikutana na wababe wa mpira jambo ambalo lilinifanya niachie nafasi watu waoneshe viwango vyao.Daah uliacha mapema sana aisee.....hii kitu mi nimeachia form two yn....baada ya kupata kamchumba fln hv darasan.
[emoji23][emoji23][emoji23] basi unapewa dozi huko nje wenzako waskilizia madirishani tu na kucheka taratibu.........na kumbuka nyumbani uliachiwa maagizo ukirudi shule baada ya kula ukachote maji na kukatie mifugo majani ya jioni na unajua kabisa kutoyafanya hayo utakutana na adhabu kali ila bado hili halikutoi kwenye mood.
Kuna siku niliambiwa nisimamie maharage jikoni yasiungue bimkubwa aliponipa mgongo tu na mie nikatoka kwenda kucheza,nakuja kukumbuka narudi mbio nipo umbali wa mtr50 nasikia harufu kali ya kitu kuungua mbio kuchungulia maharage yameungua yamefanana na karanga za kukaangwa.
Mara sauti ya bimkubwa nayo nje inasikika na hapo giza lishaingia.usiniulize kilichotokea ila nakumbuka nilijikuta asubuhi naamka kila sehemu pananiuma na njaa inauma hatari.those days hahah watu utoto tumeufaidi sana!
Nilikuwa nafunguaga dirisha la darasa wazi tobo likiingia tuu huyoo dirishaniii, ikafika kipindi tukaanza tobo dunda afu kumshika mwalimu mkali shule nzima sasa kuna ticha alikua anajiita K Kubwa au mwalim chuma yaan hahahaha ...Me kuna siku nilifunga magoli 75!
Halafu kuna ile kitu inaitwa tobo, ukipigwa tobo aisee ilikuwa unakimbizwa, ukikamatwa unakula kisago...ponea yako ilikuwa unapaswa ukimbie hadi ushike kisiki au mti uliopangwa!
aaah wanakosa mambo matamu sana aiseeNilikuwa nafunguaga dirisha la darasa wazi tobo likiingia tuu huyoo dirishaniii, ikafika kipindi tukaanza tobo dunda afu kumshika mwalimu mkali shule nzima sasa kuna ticha alikua anajiita K Kubwa au mwalim chuma yaan hahahaha ...
wakishua kaz yao kula mayai tuu na kusubiria skuli bus hswawez jua raha hzi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].........na kumbuka nyumbani uliachiwa maagizo ukirudi shule baada ya kula ukachote maji na kukatie mifugo majani ya jioni na unajua kabisa kutoyafanya hayo utakutana na adhabu kali ila bado hili halikutoi kwenye mood.
Kuna siku niliambiwa nisimamie maharage jikoni yasiungue bimkubwa aliponipa mgongo tu na mie nikatoka kwenda kucheza,nakuja kukumbuka narudi mbio nipo umbali wa mtr50 nasikia harufu kali ya kitu kuungua mbio kuchungulia maharage yameungua yamefanana na karanga za kukaangwa.
Mara sauti ya bimkubwa nayo nje inasikika na hapo giza lishaingia.usiniulize kilichotokea ila nakumbuka nilijikuta asubuhi naamka kila sehemu pananiuma na njaa inauma hatari.those days hahah watu utoto tumeufaidi sana!
Hapo wanacheka huku wakikuchongea zaidi huku wanasisitiza "Tulimwambia asicheze ila akang'ang'ania" basi hapo inakuwa kama wamemwaga petrol kwenye moto maana kichapo kinazidi zaidi.[emoji23][emoji23][emoji23] basi unapewa dozi huko nje wenzako waskilizia madirishani tu na kucheka taratibu
hahahahahahaaaa sio siri ile life sku hz siioni kabisa kwa watoto wa sku hz ynHapo wanacheka huku wakikuchongea zaidi huku wanasisitiza "Tulimwambia asicheze ila akang'ang'ania" basi hapo inakuwa kama wamemwaga petrol kwenye moto maana kichapo kinazidi zaidi.
Aaahahah asee hata jembe langu ndmna nimelipeleka shule za st kayumba nalo lije kusimulia watoto wake aseni unforgetable moments kwa kweli......kipindi hcho akila hazina stress kabisa yn
Umeshacheza wan tachi au two tachi??"kipa na ndani" ushacheza weye?