Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
- Thread starter
- #61
aisee na hyo ni moja ya njia za kuactivate bongo za watoto......ila watu hawajui tu.......kayumba kule kuna mengi ya kujifunza mbali na elimu hii ya kawaidaAaahahah asee hata jembe langu ndmna nimelipeleka shule za st kayumba nalo lije kusimulia watoto wake ase
Wale jamaa zangu cjui wapogo wapi skuhz asee tukikutana lazma tufany party ahahaha