kucha za dole gumba zilikuwa sinapishana tu, kuumia na kutoka na kuota tena! Ilikuwa starehe mwisho kusakata kabumbu hiyo...!umepiga sana haya mambo ee??
Aiseee [emoji23] [emoji23] nikikumbuka nacheka tuuMnapanga mstari, kisha wababe wawili kila upande anaanza kuita kwa zamu mchezaji anayemtaka timu yake, baada ya hapo, sheria ya kwwnza, hamna kuvaa viatu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...si umeona na kwenye picha wote wamevua viatu na kucha zimekaguliwa ili wasichane sembo
Ahahahahah unaachana na machakula yaoUnakuta unarud shule saa nane ,unakula ,ile unatafuta mbinu ya kutokea kwenda uwanjani mama anakudaka na kukuambia hakuna kwenda uwanjani hadi umalize kuosha vyombo na kulisha mbwa,yani hapo unaona mama anakutesa unaweza hata ukalia,na ukipiga hesabu ukichelewa uwanjani unakosa namba,,,,,basi unafanya kazi wenzio wanapita kuwah uwanjani unaumia sana,,,,,,siku ya pili sasa,ukitoka shule ni moja kwa moja unapitiliza uwanjani maana home unaona wanakuwekea kauzibe,,
Duu nimekumbuka mbali enzi za kaptura za kaki na sio blueYani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.
Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa ajili ya malez ya bara letu kwa watoto.
Namiss sana enzi hiziView attachment 748243
Hahhaha Kweli kabisa. Sasa ukite una Mama mwalimu hata kumdanganya huwezi. Enzi hizo ukiwa mwalimu lazima watoto wasome shule unayofundisha.Unakuta unarud shule saa nane ,unakula ,ile unatafuta mbinu ya kutokea kwenda uwanjani mama anakudaka na kukuambia hakuna kwenda uwanjani hadi umalize kuosha vyombo na kulisha mbwa,yani hapo unaona mama anakutesa unaweza hata ukalia,na ukipiga hesabu ukichelewa uwanjani unakosa namba,,,,,basi unafanya kazi wenzio wanapita kuwah uwanjani unaumia sana,,,,,,siku ya pili sasa,ukitoka shule ni moja kwa moja unapitiliza uwanjani maana home unaona wanakuwekea kauzibe,,
Wababe wanaita wanaowataka then unaweza ukabakia mwenyewe hakuna anae kuita. Halafu unaambiwa wewe utachangia mtu akiumia. DuuMnapanga mstari, kisha wababe wawili kila upande anaanza kuita kwa zamu mchezaji anayemtaka timu yake, baada ya hapo, sheria ya kwwnza, hamna kuvaa viatu.