Watoto wa kishua hamuwezi kuielewa hii picha

Unakuta unarud shule saa nane ,unakula ,ile unatafuta mbinu ya kutokea kwenda uwanjani mama anakudaka na kukuambia hakuna kwenda uwanjani hadi umalize kuosha vyombo na kulisha mbwa,yani hapo unaona mama anakutesa unaweza hata ukalia,na ukipiga hesabu ukichelewa uwanjani unakosa namba,,,,,basi unafanya kazi wenzio wanapita kuwah uwanjani unaumia sana,,,,,,siku ya pili sasa,ukitoka shule ni moja kwa moja unapitiliza uwanjani maana home unaona wanakuwekea kauzibe,,
 
Ahahahahah unaachana na machakula yao
 
Yani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.

Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa ajili ya malez ya bara letu kwa watoto.

Namiss sana enzi hiziView attachment 748243
Duu nimekumbuka mbali enzi za kaptura za kaki na sio blue
 
Unakuta unarud shule saa nane ,unakula ,ile unatafuta mbinu ya kutokea kwenda uwanjani mama anakudaka na kukuambia hakuna kwenda uwanjani hadi umalize kuosha vyombo na kulisha mbwa,yani hapo unaona mama anakutesa unaweza hata ukalia,na ukipiga hesabu ukichelewa uwanjani unakosa namba,,,,,basi unafanya kazi wenzio wanapita kuwah uwanjani unaumia sana,,,,,,siku ya pili sasa,ukitoka shule ni moja kwa moja unapitiliza uwanjani maana home unaona wanakuwekea kauzibe,,
Hahhaha Kweli kabisa. Sasa ukite una Mama mwalimu hata kumdanganya huwezi. Enzi hizo ukiwa mwalimu lazima watoto wasome shule unayofundisha.
 
Mnapanga mstari, kisha wababe wawili kila upande anaanza kuita kwa zamu mchezaji anayemtaka timu yake, baada ya hapo, sheria ya kwwnza, hamna kuvaa viatu.
Wababe wanaita wanaowataka then unaweza ukabakia mwenyewe hakuna anae kuita. Halafu unaambiwa wewe utachangia mtu akiumia. Duu
 
Nilikuwa na uhakika wa namba, nikija kikaza lazima atoke niingie mzee wa vyenga.. Kurasini primary school hiyo.
 
Kuna wakati tulikuwa tunacheza kwenye uwanja usiozidi mita 20 lkn wachezaji tupo zaid ya 30
 
Back
Top Bottom