inamaana maswala ya lunch kwenu ilikuwa ni maswala ya kubabaishana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ohoooo....huwez kuelewa haya maswala mjombaaa.....watu tunacheza kuanzia saa nne asubuh mpka saa kumi na mbili jioni...sasa hapo unategemea nini??
wenzio tulikua tunaweka kondom....yn ukisuka mpira na kuweka kondom ndani yake....weeeeeee yn hapo hata utamu wa gozi hauoni ndani.......kitu kinadunda freshiiiiNakumbuka nilimaliza godoro nusu kisa kushonea mipira inayodunda.....ilkuwa ukisikia gozi hata kama lipo kata nyingine mtaenda tuu
[emoji23][emoji23]Bambi hyoo......yn ukipigana na mtu hyo afu yeye akapata maumivu wew usipate....bs unajiona jembe na umekomaa vilivo
heheheh,Mimi nilikuwa sikosi namba nilikuwa monitor majina ya wasumbufu na watoro ninayo mfukoni mkizingua tuu napeleka kwa ticha mkali
ohoooo....huwez kuelewa haya maswala mjombaaa.....watu tunacheza kuanzia saa nne asubuh mpka saa kumi na mbili jioni...sasa hapo unategemea nini??
yani njaa haiumi kabisa.....mwili unakua upo bize na maswala ya msingi zaid ya kupachika magoli tu.....yn mpka tumbo linashangaainamaana maswala ya lunch kwenu ilikuwa ni maswala ya kubabaishana?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hii ilikuwepo heheheh,wenzio tulikua tunaweka kondom....yn ukisuka mpira na kuweka kondom ndani yake....weeeeeee yn hapo hata utamu wa gozi hauoni ndani.......kitu kinadunda freshiiii
wenzio tulikua tunaweka kondom....yn ukisuka mpira na kuweka kondom ndani yake....weeeeeee yn hapo hata utamu wa gozi hauoni ndani.......kitu kinadunda freshiiii
yaaah ila inaonesha hukuwa mpenz sana.....ulipata hata mda wa kukopy notes??? watu tumebandika maharage na jiko liko pembeni ya uwanja lkn mpka sufuria inatoboka hatuna habari......kuja kustuka ni pale unaskia bimkubwa anasalimiana na majirani....weeeee..!!!! ndo unaanza kuskia harufu ya maharagwe kuunguaKwa hapo nimekulewa.
Ila ilikuwa raha..nilikuwa natoroka shule (sana sana kaka yangu ndiyo alinifundisha kutoroka) tunaenda uwanja wa Ushirika (Moshi, KLM) tunacheza mpaka mida ya kutoka shule. Wenzetu wakija sisi tunachukua madaftari tunakopi notes kisha tunaendelea kucheza mpaka giza ndo kurudi home.
shule napo ilikuwa raha sana..ile breki ya saa nne au lunch ni mpira mwanzo mwisho...siku nyingine tunacheza mechi/ligi ingawa siku zote darasa la sita/saba ndio walishinda na wao mechi iliisha kwa ngumi.
UMITASHUMTA nao ulisaidia saidia kuendeleza vipaji ingawa nakubali sikuwa na kiwango cha kufika huko...them good old days!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah mwana kweli una kumbukumbu, kitu bambi, kama upo legelege unaweza vunja mguu[emoji23][emoji23][emoji23] kuna ile kukutanisha miguu mpira upo kati inaitwa bambi hatarr Sana, mi ni ke ila nimecheza sana hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanangu ulikua unatumia umonta ipasavyo kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pongezi mlistahili piayani njaa haiumi kabisa.....mwili unakua upo bize na maswala ya msingi zaid ya kupachika magoli tu.....yn mpka tumbo linashangaa
yaaah ila inaonesha hukuwa mpenz sana.....ulipata hata mda wa kukopy notes??? watu tumebandika maharage na jiko liko pembeni ya uwanja lkn mpka sufuria inatoboka hatuna habari......kuja kustuka ni pale unaskia bimkubwa anasalimiana na majirani....weeeee..!!!! ndo unaanza kuskia harufu ya maharagwe kuungua