Watoto wa kitanzania wanavyofundishwa unafiki tangu utoto

Watoto wa kitanzania wanavyofundishwa unafiki tangu utoto

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
1. Ni lazima ukiwa unakunywa hata chai kikombe 1 cha mia, akipita jirani sharti umkaribishe.(Huu ni unafiki, je kama akifika kula kweli, na una kikombe kimoja?)

Na hapo ni kwenye kula tu, je mambo mengine? Na ndio maana wakati mwingine tunapata viongozi magoi goi, na watoto wapumbavu na wenye IQ ndogo!
 
Back
Top Bottom