Watoto wa Masaki

Watoto wa Masaki

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Watoto wa Masaki wanajua mboga tayari imemwagika 😀😀😀
1729155038975.jpg
 
si umebaki bado kwenye sufuria humu au mnataka kutulisha uchafu tu kwa kuokota iliyomwagika!,ya kwenye sufuria kama haitoshi kanunie mchicha pika chapchap tunakula!.. uswahili ukizidi mtakujaga kutuua!..😅
 
Utumbo hautupwi
 
Tuache utani asee.... nilikula maharage yaliyochacha enzi nikiwa chalii
nilikimbiza mwenge kama sina break acha kabisa. picha lilianzia class kama utani utani ikapidi
niweke kambi chooni. sio poa asee unaharisha hadi unalewa na kuona giza
Ulikua unakunya sana😂😂😂
 
Daaah kidogo nyama nazo zimwagike, bora umemwagika mchuzi tu tutaongeza maji.
 
Back
Top Bottom