Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Lakini siyo Mcharo wa hawa wachovu anayesemwa amekuwa mtamu!! Huyu wa kwake ni mabinti, yule la kwake ni li-vulana (jambazi)!!Nimeangalia Matokeo yao ni kweli wamepata G.P.A za 5.0 kila mmoja,wote wamepata A 7 na B tatu,wametofautiana katika B,mmoja(Angel) kapata B ya B/Knowledge na Mwingine(Jenifa) Kapata B ya B/Maths,Masomo mengine yote nane wamepata Alama Sawa.Hongera sana Familia ya Mcharo.
View attachment 226878